Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

Leo wamepita jamaa wanaozoa taka huku maeneo ya kiembe samaki wanadai eti kuanzia mwezi wa 2 ada itakuwa 10000 badala ya 5000 ya mwanzo, huku ni kutiana umaskini tu
Itabidi uhamie Mji Mkongwe.... wao inatoka 3000 kwenda 5000
 
Leo wamepita jamaa wanaozoa taka huku maeneo ya kiembe samaki wanadai eti kuanzia mwezi wa 2 ada itakuwa 10000 badala ya 5000 ya mwanzo, huku ni kutiana umaskini tu
Dah huyu Mwinyi ni shida sana, Mwaka jana bili za manispaa zilipunguzwa, mwaka huu kapandisha. ALikua anatafuta kiki tu.
Na kuanzia sasa wanataka maduka yote yasajiliwe na ZRB na TRA. Kwa kweli wamekusudia kuumiza watu kabisa.
 
Ndio hivyo mkuu yaan shida tupu

mimi nimevurugwa kabisa, hivi sasa wanalazimisha maduka yote wayasajili ZRB na TRA, yani ukienda kulipa Lesen Manispal lazima wakudake, Kila kumoja unatakiwa ulipie 50,000/- kwa kila mwezi kwa maana ya Laki hiyo kwa pamoja, hapo mbali ya Leseni ya manispal, Hela ya usafi, kuna na michango ya maendeleo. Kodi za frem zimezidi kupanda mana wenye frem nao wamewekewa kodi ya kulipa TRA na ZRB kwahiyo na wao wanatugeukia sisi.
Hapo wakigundua Biashara yako mzunguko unasogea kidogo tu wanakufungia mashine ili wapate kula VAT na Income Tax
 
50,000/= kwa mwaka, Kwa malipo ya usafi kwa duka ni Ndogo sana
 
Tuwekee picha asee , nataka mione huo mkate wa sh 250
boflo.jpg
 
mimi nimevurugwa kabisa, hivi sasa wanalazimisha maduka yote wayasajili ZRB na TRA, yani ukienda kulipa Lesen Manispal lazima wakudake, Kila kumoja unatakiwa ulipie 50,000/- kwa kila mwezi kwa maana ya Laki hiyo kwa pamoja, hapo mbali ya Leseni ya manispal, Hela ya usafi, kuna na michango ya maendeleo. Kodi za frem zimezidi kupanda mana wenye frem nao wamewekewa kodi ya kulipa TRA na ZRB kwahiyo na wao wanatugeukia sisi.
Hapo wakigundua Biashara yako mzunguko unasogea kidogo tu wanakufungia mashine ili wapate kula VAT na Income Tax
Uchaguzi karibu wanatafuta pesa Za kuwalipa majeshi Na vyombo vyengine vya dola ili walazimishe kubakia madarakani
 
Hii mijitu mijinga mijinga,mibwege mibwege fulani hivi.Samahani lakini.Unauziwa mkate Sh. 250 tu,halafu unakuja lalamika hapa.Msilete nyuzi zi kijinga humu.
Nyinyi ndio katika yale matabaka ambayo ccm iliyatengeneza ya kupata shilingi elfu 7 kwa mwezi sasa unakuja na kiburi kiwango hiki
 
Hapa Chukwani bei ya mkate kama awali, zaidi chips bei juu..

Kuhusu maji ya zawa yamekatika muda mrefu sana... visima binasfi ndio vinatumika..
Yaah mie nipo mitaa ya aman magogoni ila hali mbaya zenji ,,hichi kisiwa ili uishi lazma uwe na hela ya kutosha la siivyo utaangukia pua
 
Back
Top Bottom