Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Mnaonaje kama tukifuta vyama vya siasa ila tukaendelea kuwa na Bunge na wanaogombea ubunge wawe wanasimama kama wagombea binafsi? Rais atokane kati ya Wabunge. Ikimaanisha kuwa wabunge wapige kura kumchagua Rais wa nchi toka miongoni mwao. Ili mtu awe rais sharti apate angalau asilimia 70% ya kura za wabunge. Rais akiisha chaguliwa achague Mawaziri ambao hawatakiwi kuwa ni wabunge kasoro waziri mkuu tu.
Huu utakuwa mfumo mgumu sana.
Rais achaguliwe na bunge?
Atakuwa Rais wa BUNGE.