Mataifa yote yaliyoendelea duniani yalipitia udikteta, kuheshimiana ndiko muhumu.
hapo bravo, futa vyama vyote tufanye kama anavyosema huyo mdau, napo tutaanza kwenda mbele, lakini kwa ujinga huu hatufiki popote as a nation.
Rwanda wamefunzana adabu wako fiti kwa sasa, kenya wamefumuana kidogo sasa kuna heshima, sisi ni dharau tupu as if familia haiza mzazi / mlezi.
Hadi watu wanapofikia kusema hivi ujue tunakoelekea kubaya na wameona mfumo huu haufanyi kazi kabisa na hauwezi kutufikisha popote ki maendeleo sasa ni kwa nini kuwa na mfumo ambao umeshindwa haufanyi kazi?
Uchaguzi Uchaguzi, Vyama, Vyama what? hapa ndipo tunapata viongozi wasio waadirifu, wavivu wa kufikiria, wala rushwa sababu na hivi vyama vya siasa kutuundia serikali isiyo makini ya kupendeleana, urafiki na undugu-naization.
Nafikiri demokrasia ya kweli si vyama vingi - wala si chama kimoja - futa vyama let us move on, tuwe na serikali tu inayoriport moja kwa moja kwa wananchi that it.
Mtachaguana chaguana at the end of the day hamfiki popote, mnaneemesha wenzenu tu mnaojidanyanga kuwapa madaraka eti wawatumikie kumbe wanajaza mitumbo yao na familia zao. mtazalisha vi epa,kagoda, melemeta, mwananchi gold, vijisenti, vijirichardmoduli, vijikiwila na mengineyo kila Kukicha kama mnaendelea na mfumo huu.