Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Uoga wako ndio umekupelekea kulete hoja mfu humu jf. Kwanini usishauri tudai katiba mpya, au kukifuta CCM unakimbilia kufuta vyama vingi, sijakuelewa kwako wewe vyama vingi ni vipi, na hicho Chama kimoja unachotaka kibaki ni kipi?Sizani kama nitaeleweka kwa wengi swali hili nimeliuliza kwa Wajuvi wa masuala ya Siasa hasa ktk kipindi ambacho tumeshuhudia vurugu wakati wa Kampeni za Chaguzi ndogo ambazo zimehitimishwa Jana Je Tunaelekea wapi kama Taifa,Kwa maoni yngu nibora tubaki na chama kimoja kama mfumo wa vyama vingi umetushinda,Ni Rahisi sana kuipoteza amani lakini kuirudisha nikazi kubwa sana