Mfumo wa Vyama vingi na Katiba ya chama kimoja

Anzeni na kura ya maoni kuhusu wanaotaka muungano na wasioutaka muungano ndiyo utajua kwa nini mbuzi wanafyatuana huku wanakimbia, unakuta kitu kimo ndani huku kinatema protein
Daah,mifano mingine migumu sana kuielewa!Ukianza kujaribu kuuelewa mfano huu unaweza ukajikuta unawaza vitu vya ajabu!
 
Akili yako haina akili, hivi upinzani na nyie nani aliyepoteza muelekeo? Nyie hamna chama kwasasa, ushahidi hebu jisahau uweke tume huru au tupige kura kwa kujipanga kama mtapata Hata 10%!

Ushahidi zaidi, Polisi wa nini kwenye maboksi ya kura? Unajua sababu yake? Hamkubariki tena!
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Kweli uchizi sio mpaka uvue nguo, ccm ndio imepoteza mwelekeo wizi, ccm, ufisadi ccm ,rushwa ccm, na sasa siasa wanafanya ccm wakifanya wengine uchochezi. Bambaf kabisa
 
Daah,mifano mingine migumu sana kuielewa!Ukianza kujaribu kuuelewa mfano huu unaweza ukajikuta unawaza vitu vya ajabu!
Mkuu mwache ajiulize kwa nini wanyama wengine wanatulia sehemu moja lakini mbuzi mpaka wakimbie ndiyo wanapata utamu
 
Upinzani ni IMANI ndani ya moyo wa mtu hakuna awezaye kufifisha imani yetu hatasiku moja.....
Imani yetu inapita kwenye moto kama ilivyo dhahabu ili itoke dhahabu safi,mwambieni jiwe kama miaka 4 ya uongozi wake analala na mafaili kitandani asubiri mwakani atatembea boksa kichwani
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!

Ingependeza tungeenda mbele zaidi . Kwa kuwa tokea tupate uhuru kutoka kwa wakoloni tumeshindwa kuwapatia wananchi elimu sahihi ya uraia/siasa tupige kura ya maoni kuona kama tulikuwa tayari kupata uhuru au la na kama tuwaruhusu mabeberu waje kututawala?
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Wengine mmepewa vichwa kwa bahati mbaya ukweli uti wa mgongo peke yake ungewatosha! hebu tusaidie kwako ww upinzani nini Chadema Cuf au Nccr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Baada ya CCM kupoteza dira kwa kushindwa kusimamia sera zake na kujikita kutumia mabilioni ya kodi zetu na mabavu ya dola kuua upinzani jee ipigwe kura ya maoni ili kujua kama CCM ni chama cha siasa au ni genge la kigaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Kinachoendelea sio upinzani kupoteza muelekeo bali ni serikali kuonekana isiyoheshimu demokrasia na kuwa serikali ya kiongizi na sio ya watu..yajayo yanatisha
 
Akili yako haina akili, hivi upinzani na nyie nani aliyepoteza muelekeo? Nyie hamna chama kwasasa, ushahidi hebu jisahau uweke tume huru au tupige kura kwa kujipanga kama mtapata Hata 10%!

Ushahidi zaidi, Polisi wa nini kwenye maboksi ya kura? Unajua sababu yake? Hamkubariki tena!
Ukiona upinzani unaogopa polisi ujue hakuna mpinzani hapo ni wachumia tumbo watupu!
 
Upinzani wa Maigizo
Maigizo Kama haya

IMG-20190221-WA0001.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anzeni na kura ya maoni kuhusu wanaotaka muungano na wasioutaka muungano ndiyo utajua kwa nini mbuzi wanafyatuana huku wanakimbia, unakuta kitu kimo ndani huku kinatema protein
Muungano upi unaouzungumzia?

SMZ yapewa ekari 30 kujenga ofisi zao Dodoma......... Usisahau hilo!
 
Usijifanye hujasoma hapo juu, sawa labda nitumie lugha nyepesi muungano wa beberu na jike la mbuzi umewahi kuuona?, wanapotafuta mtoto?
 
Shida Ni mabeberu Tu ila watu waliukataa kwa kura ya maoni toka Enzi ya mchonga.Cha msingi ruzuku kuifyekelea mbali uone kama watakuwepo hao wenyeviti wa kudumu.
 
Back
Top Bottom