Mfumo wa vyama vingi na katiba ya chama kimoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfumo wa vyama vingi na katiba ya chama kimoja

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ZeMarcopolo, Jun 26, 2008.

 1. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2008
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Unaposafiri kwa ngalawa wakati wote usalama wa ngalawa hiyo ndio usalama wako. Hivyohivyo kwa wanasiasa, usalama wa chama ndio usalama wa mwanasiasa. Hivyo basi mwanasiasa siku zote ni lazima atakahihikisha anakitetea chama chake ili kiendelee kuwa kwenye nafasi nzuri na kikubalike ili na yeye anendelee kukubalika.Ndio maana kauli za " chama hakina tatizo, tatizo ni mtu mmojommoja" zimekuwa zikisikika sana.

  Swali ninalojiuliza ni hili: je kuna ugumu gani kuongoza nchi bila chama chochote? Kila mwanasiasa akawa independent na tukaepukana na kansa ya kutetea maovu kwa maslahi ya chama. Obviously hata katika mfumo wa aina hiyo kutakuwa na wanasiasa watakaoungana in someway kuteteana, lakini adha yake haitakuwa kama ya kutetea chama kilichojisambaza nchi nzima na kinachotishia kufuta uanachama wale wote wanaohatarisha maslahi yake.

  Tufute vyama vyote na tuunde Tanzania inayoongozwa na watanzania wasiofungamana na chama chochote.
   
 2. Single D

  Single D JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huwezi futa vyama wakati hujafuta katiba ya nchi. Vimeanzishwa kwa mwongozo huo.

  Pia kufuta vyama si suluhisho la uovu katika nchi,Unadhani nchi gani duniani yenye serikali halali haina chama.Labda zile zilizopinduliwa kijeshi.
  Pia kwa mjibu wa kazi zao hawaruhusiwi kuwa chama chochote ingawa wanaweza wakawa wanatetea maslahi ya chama fulani.Sheria za kimataifa nazo huwabana mpaka waitishe uchaguzi huru.

  Tuna sheria,kanuni,taratibu nyingi nzuri katika nchi je zinafuatwa?Hilo ndilo la msingi kuliko kusema usiwe na vyama.Je chama kinachotawala kinazitekeleza?

  Leo hii hali ya kisiasa na kiuchumi tuliyonayo ndani ya nchi yetu a ni matokeo ya sera mbaya za chama tawala ambazo zimepelekea wananchi wengi kuwa masikini katika ardhi yao iliyojaa kila aina ya rasilimali na ardhi yenye rutuba.

  Tunahitaji watu walio na uchungu na nchi hii sio watetezi wa wakoloni na makabaila wanaoendelea kutunyonya hadi leo.
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2008
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Niliposhauri vyama vifutwe sikusema katiba isibadilishwe, ofcourse ni lazima ibadilishwe.

  Tambua kuwa kuna wanaopenda maslahi ya nchi na wanayoyapuuzia.tatizo lililopo ni kwa wale wanaopenda maslahi ya nchi kushindwa kuyatetea kwa sababu yanaingiliana na maslahi ya chama.

  Swala la kusema mpaka nchi fulani duniani ianzishe ndio na sisi tuige sikubaliani nao. Angalia Switzerland, hii nchi inabuni njia zake za kujiendesha yenyewe na sio lazima ifanane na njia zinazotumiwa na nchi nyingine yoyote duniani na wanafanikiwa kwelikweli. Sisi tunaweza kuwa waanzilishi wa kutokuwa na vyama vya siasa.Wengine wanaweza kutuiga sisi.
   
 4. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2008
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  There will not be political innovation if the same methods will be used to solve our problems.
   
 5. Single D

  Single D JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Swala siyo nchi fulani ianzishe MFUMO ndipo tufuate na pia si kwamba suala vyama vingi tulipenda tuwe nalo 1992 ila ilazimika kwa kuwa tumesaini matamko mengi ya kimataifa ambayo yanatufunga.
  Ninacholenga ni kuwa kama hamna haki,wala sheria hazifuatwi za kuwajibika,na kuwajibisha basi hata kama tutavunja vyama na kuwa raia huru bila kushughulikia manyang'au ni bure kabisa.Kwanza tuondoshe manyang'au kwa hizi sheria tulizo nazo.
  Toka mwanzo wa AA ,TAA n.k vilikuwa na nia njema ya kutetea maslahi ya wakulima na wafanyakazi ambao ndo ulikuwa msingi wa siasa za Tanzania lakini leo wakulima na wafanyakazi wamesauliwa na wanaotetewa ni wafanyabiashara na mafisadi.
  Ukisharuhusu wakoloni kukutawala na kukutungia sheria wataiga nini kwako?
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  There is no denying the fact that corruption na ufisadi in Tanzania is one of the “devils” that have contributed to the woes of our dear country Tanzania. We have over the years failed as a nation to confront this canker which has eating deeply into the fabric of our society with all the seriousness that it deserves.

  The most ironic of all is the knowledge that those who over the years have been accusing others of being corrupt are more often than not the worst corrupt. In most cases we tend to forget that when we point a finger at someone or a group of individuals, the remaining ones point at us. In our political history and development, we have witnessed changes in the political direction of Tanzania, through both legitimate- and criminal ways, but the issue of corruption appears not to be addressed. Our leaders appear not to relent in their selfish desire of becoming rich through corrupt practices at the expense of the development of the country.

  Most of these politicians begin their political careers as down-and-out but end up being in money. These politicians see politics as moneys on old ropes. For my money, these corrupt officials are losers, and for us to reduce this societal evil in our country to its barest minimum, those who are found to have taken undue advantage of our economy in order to be in money should be severely dealt with.

  If we are still poor, if we are still unable to develop our human resources, if we are still unable to add value to our natural resources in this day and age, then we should hold accountable those group of people who usurped political power under the guise of eliminating corruption in the system with the hidden motive of enriching themselves through corrupt practices.


  We are still living in poverty because a bunch of selfish and greedy individuals took the law into their own hands and ruled according to their whims and caprices. Tell me, which military and dictatorial regime in the world has succeeded in improving their economies? The point I am drive home is that the reason that these unscrupulous individuals gave to stage the coups- corruption, was neither here nor there since it even increased to unprecedented highs under their watch. It means that all those who were sent to the gallows or incarcerated, if any, for their involvement in corrupt practices shouldn’t have suffered that fate because their accusers are even the worst offenders. They live in glass houses and yet throw stones.

  This is the very height of hypocrisy in VYAMA VINGI because these corruption crusaders are the ones who have presided over revealing and telling corruption when they were given the mandate to chart the course of the development of the country in all its facets. They failed woefully when they had the opportunity to instill and promote discipline in the country by dealing with individuals who were found to have abused their offices by established state institutions that have the powers of investigating and recommending the prosecution of corrupt officials.


  The rational for putting pen to paper is that we have to put our moneys where our mouths are. We should understand that the fight against corruption is not only a socio-political issue, but also a moral issue and is our duty kwa kila Mtanzania.

  The above case and other cited instances which will take pages and pages to recite, demonstrates that for the VYAMA VINGI, fighting corruption is a mere rhetoric and/or having a new ruling party, to wit.

  It is a pandemic which has to be confronted head-on before it finally causes an irreparable damage to our beloved Tanzania.

  All the stakeholders in the country- civil society, governmental and public institutions, religious organizations, and even politicians should do more by fighting this “disease nikimaanisha UFISADI”. We should understand that it is easier done than said, and not the reverse.

  Let us fight this canker than disturbing our ears and those of others with empty and unproductive talks. But then, those who live in glass houses should not throw stones! God bless our new founded wealth, the black gold and gold in Singida .

  Tell me, who is DISCHARGED AND ACQUITTED in the building of Tanzania?

  God bless Tanzania

  Max Shimba, A Bondservant of Jesus Christ
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Well addressed and said. lakini je, how are we going to mobilize wananchi kuwa na mwelekeo mmoja? Hii ni quote kutoka main thread yako.

  All the stakeholders in the country- civil society, governmental and public institutions, religious organizations, and even politicians should do more by fighting this “disease nikimaanisha UFISADI”. We should understand that it is easier done than said, and not the reverse.
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hao watu unaowaita canker ni wabaya kweli. Hawana hutu kabisa.
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mimi naona kutunga sharia kali kuhusu hawa mafisadi japo sheria hizo ziwe zinavunja haki za binadamu
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu hiyo ndio dawa itakayao wanyamazisha hawa Mafisadi, ikiwezekana wakatwe hata vichwa.
   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
 12. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=W2UlKYNPYIE&feature=related[/ame]
   
 13. K

  Kijiji Chetu Member

  #13
  Dec 29, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF, nimerudi tena wakijijini a.k.a kijiji chetu,

  Naomba kushika kalamu, kutoa yangu maoni,
  Japo wengi mnalaumu, mioyo yenu siisemei,
  Kijiji changu ni chenu, japo wengi mnakisaliti,
  Vyama vingi ni fununu, maana msahafu hautaki,
  Katiba yao si yetu, japo wanaihubiri,
  Nakupenda tanzania, nani atakujenga
   
 14. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2009
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ngoja kwanza nitafute madesa yangu ya Song of Lawino umenikumbusha mbali sana wakati nikiwa form 3.
   
 15. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  ha ha ha anakumbusha mbali --- huyu ni "kijiji chetu", Chonya wa chilonwa mimi - if the police come tell him chonya of chilonwa mimi - long time back F3
   
 16. A

  Amanikwenu Senior Member

  #16
  Jan 6, 2010
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mnaonaje kama tukifuta vyama vya siasa ila tukaendelea kuwa na Bunge na wanaogombea ubunge wawe wanasimama kama wagombea binafsi? Rais atokane kati ya Wabunge. Ikimaanisha kuwa wabunge wapige kura kumchagua Rais wa nchi toka miongoni mwao. Ili mtu awe rais sharti apate angalau asilimia 70% ya kura za wabunge. Rais akiisha chaguliwa achague Mawaziri ambao hawatakiwi kuwa ni wabunge kasoro waziri mkuu tu.
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,346
  Trophy Points: 280
  Wadau wako hapa tuwasikilize.
  Ukiungwa mkono tuanzishe mada ya mabadiliko ya katiba.
   
 18. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2010
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tubakize chama kimoja tu.
   
 19. A

  Amanikwenu Senior Member

  #19
  Jan 6, 2010
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tutakuwa tumerudi tulikotoka. Muhimu sana tusonge mbele.
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  i hope hakitakuwa sisiemu
   
Loading...