Ndugu yangu Mshana, mambo mengine waachie wenyewe!. Ndio maana mode aliamua mambo yote yanayogusa imani za watu, yawe na jukwaa lake, kule waingie wale tuu wenye mioyo mikubwa kustahimili vinginevyo watu tulikuwa mpaka tunanuniana humu, usilete maukweli mengine watu wakanuniana hapa, mfano kuna wanaoabudu sanamu, wapo wanaoabudu vivyago, wapo wanaoabudu mapepo, etc, sasa ikitokea mwenzako anaabudu sanamu iliyochongwa na kumuita ni mungu, kisha wewe uite ni kinyago, atakununia mungu wake umemuita kinyago! . Au wale waabudu mapepo ukiwaambia ni shetani, watakununia! . Mungu wa kweli ni mmoja tuu, The One and Only God, Father The Almighty God, wengine wote ni gods! .
Pasco