Mfumo wa jeneza la Papa (pope)

Mfumo wa jeneza la Papa (pope)

haya mambo alianzisha George washington (Raisi wa kwanza wa marekani) Dec 1779

tafuteni movie inayoitwa SLEEP HOLLOW mtaelewa huu mchezo. wanakufa lakin wanapewa uwezo wa kuishi tena lakin wakiwa si binadam wa kawaida na kuwatambua si rahisi.

Nipo nasubiri darasa la Mshana &pasci
 
Ndugu yangu Mshana, mambo mengine waachie wenyewe!. Ndio maana mode aliamua mambo yote yanayogusa imani za watu, yawe na jukwaa lake, kule waingie wale tuu wenye mioyo mikubwa kustahimili vinginevyo watu tulikuwa mpaka tunanuniana humu, usilete maukweli mengine watu wakanuniana hapa, mfano kuna wanaoabudu sanamu, wapo wanaoabudu vivyago, wapo wanaoabudu mapepo, etc, sasa ikitokea mwenzako anaabudu sanamu iliyochongwa na kumuita ni mungu, kisha wewe uite ni kinyago, atakununia mungu wake umemuita kinyago! . Au wale waabudu mapepo ukiwaambia ni shetani, watakununia! . Mungu wa kweli ni mmoja tuu, The One and Only God, Father The Almighty God, wengine wote ni gods! .

Pasco
Heri wanaobudu sanamu wanaiona kuliko mungu asyeonekana ila kwa simulizi za kale yaani mythologies bila ushahidi
 
Huu ni mtazamo kama mitazamo mingine kama alivyofafanua mkuu Pasco! Zote nk imani na ni ukosefu wa fikra ukiaza kusifia moja na kupondea nyingine
 
Yanayowahusu wanayajua, ushauri ni kama hayakuhusu waachie wenyewe yanayowahusu! . Usizungumzie yasiyokuhusu ili usiwakere yanayowahusu! .

Mfano mdogo ni huu, kuna watu wana imani ya kuamini kuwa Yesu ni Mungu! .
Wengine Yesu ni Mwana wa Mungu hivyo ni Mungu! .
Imani nyingine hakuna Mungu isipokuwa Allah Subhanahu wa ta'ala na Muhammed (SAW ) ni Mtume wao, hivyo kwao Yesu sii Mungu wala Mungu hana mwana! . Kitendo tu cha kusema Yesu sii Mungu, ni machukizo kwa waumini wa Yesu ni Mungu! ,hivyo kwa ushauri wa jf, kama Yesu hakuhusu awe ni Mungu au Sii Mungu, waachie wenyewe! .

Vivyo hivyo kwa wale wanaoamini kuwa Allah si Mungu bali ni shetani fulani na huyo mtume wake ni mtume wa shetani fulani, maadam hakuhusu, waachie wenyewe, huna sababu ya kutoa taarifa zitakazo kwaza imani za watu humu! .

Kila mtu awe huru kuamini anacho amini mfano mimi ni muumini wa dini yetu ya asili, hatuna mwisho wa idadi ya wanawake wa kuoa, sipaswi kubezwa katika hili na wala nisiitwe mpagani au dini yangu kubezwa kuwa ni dini ya kishenzi! , naweza kumloga mtu zile sehemu zihamie usoni, ya kiume ikae puani ya kike ikae mdomoni, ujione utaiweka wapi sura yako! ,msicheze na imani za watu! .

Pasco
Sidhani kama tupo hapa kwa ajili ya kukerana. Nn matumizi ya elimu iliyojaa kichwa kisha ikiwa hatumiki kuwafahamisha wengine?

Lipi la kheri kumbainishia mja kisha kumuacha achague kuwa mweruvu au mpumbav? Au kumficha kwa kumuhofia kisha azidi kuwa mpumbav?
 
Ndugu yangu Mshana, mambo mengine waachie wenyewe!. Ndio maana mode aliamua mambo yote yanayogusa imani za watu, yawe na jukwaa lake, kule waingie wale tuu wenye mioyo mikubwa kustahimili vinginevyo watu tulikuwa mpaka tunanuniana humu, usilete maukweli mengine watu wakanuniana hapa, mfano kuna wanaoabudu sanamu, wapo wanaoabudu vivyago, wapo wanaoabudu mapepo, etc, sasa ikitokea mwenzako anaabudu sanamu iliyochongwa na kumuita ni mungu, kisha wewe uite ni kinyago, atakununia mungu wake umemuita kinyago! . Au wale waabudu mapepo ukiwaambia ni shetani, watakununia! . Mungu wa kweli ni mmoja tuu, The One and Only God, Father The Almighty God, wengine wote ni gods! .

Pasco
Kumbee you know that ... Check pm please, niliwahi kukutumia pm
 
tupe ufafanuzi mshana

mshana jr ufafanuzi tafadhari tena kwa kiswahili wengine ni Darasa la saba humu
Nitazungumzia kwa muktadha wa picha tu kwakuwa ukiamua kuandika habari kamili za Papa sio kitu cha masaa
....baada ya Papa kufariki anaweza kuwekwa kwenye jeneza la kiasili lenye majeneza matatu kwa moja
1. Jeneza la kwanza ni la mti wa cypress na ndio jeneza la ndani. Hili linawakilisha utu wa Papa
2. Jeneza la pili limetengenezwa kwa madini ya batik yenye uzito wa pound 800 likibeba dhana nzima ya fuvu na mifupa (kifo)ndio jeneza la kati na lina rangi nyeusi
3.jeneza la tatu linawakilisha heshima na utu wa Papa na ndio linaloruhusu pope azikwe kwenye jeneza la mbao kama binadamu mwingine yoyote yule

☆Jeneza la nje kabisa lenye rangi nyeupe ni kama papa atazikwa ndani ya Vatican, kiasili majeneza yote matatu yatawekwa kwenye kuba la kigae cha marble, kuba hilo liko chini ya basilica ya Mtakatifu Petro

-Pete ya mvuvi
Ni Pete ya dhahabu yenye Muhuri wa jina la papa na sura ya mtakatifu Petro akivua toka mashuani na itaharibiwa kwa kupondwa na nyundo ya silver kiwakilishi cha mwisho wa enzi wa papa John Paul wa pili

Vitu vingi hufungwa pamoja na jeneza la Papa
Vitu hivyo ni
-Pete ya mvuvi iliyoharibiwa
-Cheti cha kifo na nyaraka nyingine muhimu
-nishani mbalimbali alizopata kutunukiwa kwenye maisha yake ya utumishi
 
Kama umeangalia kwa makini papa anazikwa kwenye majeneza matatu! Unajua maana yake ninini? Dhana ya -utatu mtakatifu
-dhana ya nafsi tatu
-dhana ya vivuli vitatu
yah nimeelewa kiana kwamba, hayo majeneza matatu yanawekwa under one marble vault ambayo ndo utamaduni wao kama papa atazikwa vatican,
Jeneza no 1 ni cypres, ambalo ni innermost of likimaanisha utu wa papa.
Jeneza no 2, 800 pound, linakuwa katikati linabeba dhana ya fuvu na mifupa. black in colour.
Jeneza no 3, linabeba dhana ya utu wa papa na kuruhusu papa kuzikwa kwnye jeneza la mbao kama mtu mwingne.
kingne ni hyo pete ambayo later on inavunjwa na nyundo ya silver kumaanishwa mwisho papa john II,

ila hapo kwnye nafsi tatu na vivuli sijakuelewa.
 
1.papa kama nafsi isiyokufa
3.papa kama mwili uharibikao
.papa kama mwanadamu wa kawaida
 
Nitazungumzia kwa muktadha wa picha tu kwakuwa ukiamua kuandika habari kamili za Papa sio kitu cha masaa
....baada ya Papa kufariki anaweza kuwekwa kwenye jeneza la kiasili lenye majeneza matatu kwa moja
1. Jeneza la kwanza ni la mti wa cypress na ndio jeneza la ndani. Hili linawakilisha utu wa Papa
2. Jeneza la pili limetengenezwa kwa madini ya batik yenye uzito wa pound 800 likibeba dhana nzima ya fuvu na mifupa (kifo)ndio jeneza la kati na lina rangi nyeusi
3.jeneza la tatu linawakilisha heshima na utu wa Papa na ndio linaloruhusu pope azikwe kwenye jeneza la mbao kama binadamu mwingine yoyote yule

☆Jeneza la nje kabisa lenye rangi nyeupe ni kama papa atazikwa ndani ya Vatican, kiasili majeneza yote matatu yatawekwa kwenye kuba la kigae cha marble, kuba hilo liko chini ya basilica ya Mtakatifu Petro

-Pete ya mvuvi
Ni Pete ya dhahabu yenye Muhuri wa jina la papa na sura ya mtakatifu Petro akivua toka mashuani na itaharibiwa kwa kupondwa na nyundo ya silver kiwakilishi cha mwisho wa enzi wa papa John Paul wa pili

Vitu vingi hufungwa pamoja na jeneza la Papa
Vitu hivyo ni
-Pete ya mvuvi iliyoharibiwa
-Cheti cha kifo na nyaraka nyingine muhimu
-nishani mbalimbali alizopata kutunukiwa kwenye maisha yake ya utumishi
shukrani
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sikutaka kuchangia ila ukiherehere wako[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji123] [emoji3] [emoji3]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom