Ni Jema sana, sema maandalizi, na utashi na fungu la pesa.Hata hili nalo ni kukurupuka.
Ni Jema sana, sema maandalizi, na utashi na fungu la pesa.Hata hili nalo ni kukurupuka.
Kwenye jamii huwa kuna watu ambao wao kazi yao kubwa ni kuwa wapinzani wa kila agenda na mbaya zaidi huwa hawana mbinu mbadala ya kuliendea tatizo husika.Hata hili nalo ni kukurupuka.
ajabu kabisa, komputa zenyewe hakuna.CODING HAWA WALIMU WAMEFUNDISHWA LINI
Hiki ndio nini sasa? Kwanini kusiwepo standard moja ingepunguza confusion. Yaani form 1 mpaka 4 kiswahili alafu akiingia chuo asome kwa kiingereza??5. Lugha ya kufundishia na kujifunzia itakuwa kiswahili, Kiingereza kitakuwa kama somo kwa Shule za Kiswahili Medium na lugha ya kufundishia English, kiswahili kitakuwa Kama somo kwa Shule za English Medium
Mkuu,sijakosoa dhamira,nimekosoa mikakati mibovu.Kwenye jamii huwa kuna watu ambao wao kazi yao kubwa ni kuwa wapinzani wa kila agenda na mbaya zaidi huwa hawana mbinu mbadala ya kuliendea tatizo husika.
Hapo ndipo point yangu ilipo mkuu,lengo la serikali ni zuri sana,lakini mikakati ni mibovu.Hili linahitaji maandalizi kabambe.Ni Jema sana, sema maandalizi, na utashi na fungu la pesa.
Hiki ndio nini sasa? Kwanini kusiwepo standard moja ingepunguza confusion. Yaani form 1 mpaka 4 kiswahili alafu akiingia chuo asome kwa kiingereza??
Hizi experiment kwenye maisha ya watu tunatengeneza majanga mengine
Kabisa mkuu,na tutakuwa tunatibu changamoto TU badala ya kuzalisha wataalamu wa kutoshaHiki ndio nini sasa? Kwanini kusiwepo standard moja ingepunguza confusion. Yaani form 1 mpaka 4 kiswahili alafu akiingia chuo asome kwa kiingereza??
Hizi experiment kwenye maisha ya watu tunatengeneza majanga mengine
Hahaaaa! Leo umeongea point,Hongera.
Yale mambo ya sijui Kinjektile ngwale alifia daraja gani YAFUTWE haraka sana.