meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,830
- Thread starter
-
- #161
Mimi sioni tatizo kabisa hao watu wanaotoka CCM na kujiunga na upinzani.
Ndo uhalisia wa siasa huo.
Watu huhama na kubadili kambi mara zote na si Tanzania tu bali ni duniani kote.
Kama wana nia ya kweli ya kuimarisha upinzani na kujenga upinzani wenye nguvu basi mimi sina tatizo kabisa.
Acha tu watoke huko CCM.
Pesa si mchezo.
Najaribu kutafakari kwa kina kwamba kuna watawala waliotangulia ndani ya ccm na wakafanya utumbo ama majanga yasiyosameheka je Ukawa hii iliyovamiwa na kutekwa itaweza kuwachukulia hatua??
Mimi sio chiriku wa kukariri kelele za mtaani!
Sasa ni zamu ya walutheri wakatoliki wasubiri kwani wakristo ni wao tu.Asante mwalasusa kwa kumleta Sumaye
Unawezaje kumuamini Sumaye ?Maono haya aliyapata lini?Ni Sumaye huyu huyu aliyetia nia kipitia ccm na kukatwa ndio anakuja na mistari ya hadaa?Nakumbuka hata Condoleza Rice alihama kutoka Democrats na kwenda Republicans....
nimeipenda kauli moja ya Sumaye pale aliposema Tanzania tunahitaji tuwe na vyama vyenye nguvu kiasi cha mtu kutoona haya au kuona ni shida kuwa nje ya CCM!!!
Nimempenda pale aliposema ifike mahali Tanzania watu wasije wakachagua vyama kwa bahati mbaya ambavyo havina hadhina ya kutosha ya uongozi!!!
SUMAYE ameamsha mawazo ambayo hatukuwahi jiuliza nayo ni je? kama CDM ingeshinda chaguzi 2010 kulikuwa na watu wakutosha na kuaminika kuunda serikali(wazoefu)
Nafikiri kinachofanyika sasa ni kujenga public trust kwa hivi vyama kuwa na watu wazoefu na shughuli za uongozi wa dola na pili kuondoa hofu kwa wengine walioko CCM wenye hofu za kuondoka huko....
Wachache sana wanaweza kukubali hii dhana ila wale wa siasa za wivu na majungu watang'ang'ania kelele za ufisadi huku wakisahau jenga watu wataoweza ongoza nchi....
Nakumbuka hata Condoleza Rice alihama kutoka Democrats na kwenda Republicans....

Pesa kamuonga babako? Mlaumu Kikwete kwa kujenga uswahiba na vijana wadogo kama akina Nape na Makonda na kuwadharau wakongwe kama akina Lowasa, Sumayi, Mwandosya, Bilal
ETi MUDA HUU BAADA YA KUHAMA NOD MA CCM YANAWAITA MAFISADI WAKIWA MLE CCM SIO MAFISADI DAH
SASA KINA KINANA, MUHONGO, NGELEJA, TIBAIJUKA HAMPIGI KELELE MBONA???
Mkuu pesa ni kitu kibaya sana ukawa wamemwagiwa pesa na Lowasa wakawa wehu kabisa sasa wanafanya mambo ya hovyo kabisa ambayo hayajawahi kufanywa na chama chochote cha siasa duniani yani wenye kashifa kwenye uongozi uliotangulia leo ndiyo tunaambiwa tuwachague.Najaribu kutafakari kwa kina kwamba kuna watawala waliotangulia ndani ya ccm na wakafanya utumbo ama majanga yasiyosameheka je Ukawa hii iliyovamiwa na kutekwa itaweza kuwachukulia hatua??
Mimi sio chiriku wa kukariri kelele za mtaani!
Nakubaliana na wewe mkuu yote uliyosema sahibi kabisa ukawa wanafanya watu kama hawanaakili.Unawezaje kumuamini Sumaye ?Maono haya aliyapata lini?Ni Sumaye huyu huyu aliyetia nia kipitia ccm na kukatwa ndio anakuja na mistari ya hadaa?
Ni Sumaye huyu huyu aliyemlalamikia lowassa kuwa anatoa rushwa back in 2013 na akajaribu kupambana naye 2015 na kushindwa?
Ni Sumaye huyu huyu aliyeshawishiwa na aaskofu kujiunga Ukawa?
Lakini ni Sumaye huyu huyu aliyesimamia vipigo na uhujumu dhidi ya upinzani mwaka 2000 na kuendelea.
Yaani baada ya kukatwa ndio anakuwa mwema wa kuona upinzani unatakiwa kukua na sio uadui!!
To me Kikwete anaweza chukua award ya ubaba wa demokrasia nchini kuliko watawala waliopita.
Hata rais wa zamani wa Marekani, Ronald Reagan [rais ambaye alishinda kwa kishindo] mwanzoni alikuwa ni mwanachama wa chama cha Democrat na akahama kambi na kuhamia chama cha Republican na baadaye kugombea urais kupitia chama hicho na kushinda mihula miwili.
Sasa nini cha ajabu hapo?
Mbona Uhuru Kenyatta na William Ruto walikuwa kwenye kambi pinzani huko Kenya kwenye uchaguzi wa 2007 lakini mwaka juzi wakaungana na kugombea kupitia muungano wa Jubilee na wakashinda [kama walishinda kihalali] na sasa hivi ni rais na makamu wa rais....
Kuhama kambi, kubadili itikadi, kubadili fikra, na kadhalika, si marufuku kwenye siasa bali ndo uhalisia wake.
Mbona kwenye maisha tu haya ya kawaida watu huwa tunabadili mawazo kila kukicha. Sasa kwa nini iwe dhambi mtu akibadili chama kwenye siasa?