Walishindwaje kuwatumikia wananchi miaka 12 iliyopoita halafu waweze leo?
Wasingeweza kuleta mabadiliko ilihal mwenyekiti wenu hatak mabadiliko ndiyo maana wameamua kumkimbia! miaka 10 ya kuliongoza taifa hl kazid kuliuwa
Walishindwaje kuwatumikia wananchi miaka 12 iliyopoita halafu waweze leo?
Kwa hiyo kwako wewe mfumo maana yake ni sura za watu, majina yao au nini??
Unachekesha.
Sumaye mwenyekiti wake alikuwa Mkapa kwa miaka 10Wasingeweza kuleta mabadiliko ilihal mwenyekiti wenu hatak mabadiliko ndiyo maana wameamua kumkimbia! miaka 10 ya kuliongoza taifa hl kazid kuliuwa
Pesa si mchezo.
Tulia dawa ikuingie.
Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Hapo ndo mtajua EL
Ukijumlisha idadi ya kashfa za kifisadi chini ya uongozi wao utagundua ninachosema
Mtu unajiita meningitis..nlijua utakua vyema kichwani kumbe wapi..mfumo ndo wakuuvunja na kinachofanyika ni kuutia misuko suko mfumo ili uvunjike..kwanzia leo utaanza kusikia ufisadi wa sumaye kutoka kwenu maana ndo zenu
Pesa imefanyaje?
Oooh! Sema vizuri TUWAPIGE CHINI AKINA NANI? Ccm na Magufuli? Au UKAWA na Lowasa? au Woote nchi ibaki kwa jeshi?
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
CCM ife kwanza...
Tibu kwanza huo ugonjwa unaoutumia kama id ndiyo uje hapa pambaf weweNitaheshimu uwezo wa chadema kufikia hapa lakini ni kosa kubwa kuurejesha mfumo ule ule tulioupinga halafu tuamini tumeleta mabadiliko.
Huu ni uroho wa madaraka tu hakuna nia ya dhati ya kumkomboa mwananchi.Shame!!
Pesa si mchezo.
Sasa ni zamu ya walutheri wakatoliki wasubiri kwani wakristo ni wao tu.Asante mwalasusa kwa kumleta Sumaye
Kabisa! Na wanajua kucheza na akili za watanzania, just tell them what they want to hear utamaliza kila kitu.
Tibu kwanza huo ugonjwa unaoutumia kama id ndiyo uje hapa pambaf wewe
Sasa ni zamu ya walutheri wakatoliki wasubiri kwani wakristo ni wao tu.Asante mwalasusa kwa kumleta Sumaye