meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
- Thread starter
- #101
Kwa hiyo heading yako ni dhahiri umekubali kuwa UKAWA inaenda kuchukua nchi ifikapo 25 October
Soma contents huwa sikurupuki.
Kwa hiyo heading yako ni dhahiri umekubali kuwa UKAWA inaenda kuchukua nchi ifikapo 25 October
Niliwahi kumuuliza Mwalim Mkuu wangu wa shule ya msingi Miaka 1977 wakati ninapo maliza shule ya Msingi nipo Darasa la Saba. Mwalim mkuu wangu alikuwa anatufundisha Somo la Siasa niakamuuliza hivi Mwalim nini Maana ya neno Siasa ? Jibu alilonijibu kuwa Siasa maana yake ni Uongo au ujanja wa hali ya juu sana. Kwa hali hiyo Wana Siasa wengi ni Waongo watu watoao ahadi za uongo maneno matamu kwa Wananchi ilim uwape Kura zenu. Hakuna kipya Wanachama wa CCM kuhamia Ukawa au Wanachama wa Ukawa kuhamia CCM ni Usanii wa hali ya juu hakuna kitu kitakacho badilika hapo Tanzania ni usanii mtupu. Viongozi wa Siasa ni wajanja sana wanatumia udhaifu wa Walala hoi kunufaika wao wenyewe amkeni walala hoi.Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
mwenyekiti wenu alienda na majina matano kwenye note book
Katika mawaziri wakuu viazi walowahi kutokea sumaye kiazi kwelikweli.
Hata ingekuwa miaka hamsini, hivi sasa wamehama kambi na huo ndio ukweli. Najua mko mnaoumia sana kuachwa kama yatima, lakini ukweli utabaki pale pale, wameipa CCM bye bye! Bila shaka mtu ambaye amekuwa kipofu toka kuzaliwa ikitokea akapata dawa akapona akaweza kuona tena, wewe utamdhihaki kwa kumuuliza miaka yote alikuwa wapi...eti kwa nini hakupona mapema! Ndugu yangu, bear it and like it, hao si wenzenu tena, wamehamia UKAWA.Ha ha ha walikuwa wapi miaka zaidi ya mitano iliyopita au tuseme kumi iliyopita?
Ukijumlisha idadi ya kashfa za kifisadi chini ya uongozi wao utagundua ninachosema
Naona kama vile umechanganyikiwa, unatia huruma sana, na bado.
Mna hali ngumu sana mwaka huu.
Tunaenda kuijenga Tanzania mpya, Na wewe ni kirusi kimojawapo mnaotaka kufifisha ndoto za Watanzania. Mwenyezi Mungu awapige mapigo makuu.
Sio kosa lako, tatizo ni mahaba yako na UKAWA, unahitaji akili ya kuzaliwa tuu kujia kuwa mfumo ni ule ule, jina ndo tofauti!
Katika mawaziri wakuu viazi walowahi kutokea sumaye kiazi kwelikweli.
We nawe toka lini umekuwa UKAWA?Hata ingekuwa miaka hamsini, hivi sasa wamehama kambi na huo ndio ukweli. Najua mko mnaoumia sana kuachwa kama yatima, lakini ukweli utabaki pale pale, wameipa CCM bye bye! Bila shaka mtu ambaye amekuwa kipofu toka kuzaliwa ikitokea akapata dawa akapona akaweza kuona tena, wewe utamdhihaki kwa kumuuliza miaka yote alikuwa wapi...eti kwa nini hakupona mapema! Ndugu yangu, bear it and like it, hao si wenzenu tena, wamehamia UKAWA.
Niliwahi kumuuliza Mwalim Mkuu wangu wa shule ya msingi Miaka 1977 wakati ninapo maliza shule ya Msingi nipo Darasa la Saba. Mwalim mkuu wangu alikuwa anatufundisha Somo la Siasa niakamuuliza hivi Mwalim nini Maana ya neno Siasa ? Jibu alilonijibu kuwa Siasa maana yake ni Uongo au ujanja wa hali ya juu sana. Kwa hali hiyo Wana Siasa wengi ni Waongo watu watoao ahadi za uongo maneno matamu kwa Wananchi ilim uwape Kura zenu. Hakuna kipya Wanachama wa CCM kuhamia Ukawa au Wanachama wa Ukawa kuhamia CCM ni Usanii wa hali ya juu hakuna kitu kitakacho badilika hapo Tanzania ni usanii mtupu. Viongozi wa Siasa ni wajanja sana wanatumia udhaifu wa Walala hoi kunufaika wao wenyewe amkeni walala hoi.
Ukijumlisha idadi ya kashfa za kifisadi chini ya uongozi wao utagundua ninachosema
wanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile netanyahu aungane na abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
kinachohitajika kubadilishwa na UKAWA ni mfumo sio watu..
kwani hata hao akina Slaa walikua hukohuko lakini sasahivi wanapigania mabadiliko ya mfumo.
Mkuu Homa ya Uti a Mgongo,We nawe toka lini umekuwa UKAWA?
Wewe chukua vibahasha kama ndugu yako Pasco