fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,542
Ujuwe simba hakatizi kwenye kundi la nyumbu!!Mkuu wangi huu ni msiba mzito kwa watanzania tatizo hawa wanasiasa wa Tanzania wanafanya haya wanajua watu makini wa kuhoji haya hamna ni mwendo wa nyumbu tu.
Tuliyeni dawa inawaingia kidogo kidogo !!