Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.

Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.

Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.

Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.

Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.

Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.

Dawa yao ni kuwatosa tu.

urudi kutokea wapi??

Ikibaki ccm utakua umebadilika??

Negro please, dont compare ccm na ukawa kamwe

mmeishiwa
 
Kweli kabisa maccm yanagawana pesa kwenye sandarusi sandaruri naviroba pesa za umma huku mama zetu na wadogo zetu wakifa kwakukosa dawa zakawaida kabisa!!
Hawa mchwa inabidi tuwamwagie dawa mapema wafe lazivyo watoto wetu watakuja kuishi maisha ya utumwa sana!!! Hawa mchwa wameuza madini na wanyama sasa mbaya zaidi wanauza adi aridhi amboyo tunategemea kulima na kujifariji na kipato kidogo tukipatacho hawa mchwa wameona haitoshi wameanza kuuza kweli sitakubali hawa mchwa warudi madarakani !!

Angalia kiwango cha vifo vya kina mama na watoto kipindi cha sumaye na kipindi hiki ndio uje kuongea
 
urudi kutokea wapi??

Ikibaki ccm utakua umebadilika??

Negro please, dont compare ccm na ukawa kamwe

mmeishiwa

Sio kosa lako, tatizo ni mahaba yako na UKAWA, unahitaji akili ya kuzaliwa tuu kujia kuwa mfumo ni ule ule, jina ndo tofauti!
 
Walishindwaje kuwatumikia wananchi miaka 12 iliyopoita halafu waweze leo?
Wewe ubongo wako ni sawa simu ya nokia ya touch huwezi kuwa
Ku download vitu kama smartphone!
Kwanza kamwambie mama akubadilishe nguo umeshajikojolea!!
 
Sio kosa lako, tatizo ni mahaba yako na UKAWA, unahitaji akili ya kuzaliwa tuu kujia kuwa mfumo ni ule ule, jina ndo tofauti!
Mbona unaharisha sana utakuwa na kipindu pindu wahi hospitali
 
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.

Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.

Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.

Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.

Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.

Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.

Dawa yao ni kuwatosa tu.

Wacha waende ukawa. Lazima kuwe na mabadiliko. Wakijigawa pia ni mabadiliko mazuri. Wakijigawa pia hawawezi kutulia 'pase' zetu
 
Nitaheshimu uwezo wa chadema kufikia hapa lakini ni kosa kubwa kuurejesha mfumo ule ule tulioupinga halafu tuamini tumeleta mabadiliko.

Huu ni uroho wa madaraka tu hakuna nia ya dhati ya kumkomboa mwananchi.Shame!!
Mawazo kama haya babu yangu alikuwa anayaita mawazo ya jikoni yani mawazo ya akina mama wakikata vitunguu jikoni!!
 
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.

Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.

Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.

Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.

Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.

Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.

Dawa yao ni kuwatosa tu.

Kwakua hujui kitu acha tukuache tu! Ni jazba ndio zinakufanya uandike insha hii hapa.
 
Mbona unaharisha sana utakuwa na kipindu pindu wahi hospitali

Ndo maana nasema UKAWA wengi wana akili za nyumbu!
Pia wanadai mabadiliko na HAWAJUI maana ya madadiliko, wakiambiwa ukweli ndo wanakuja na maneno kama hauo uliosema hapo juu!
 
sina wasiwasi, nashangaa watu wazima na akili zao hawana msimamo na wanachoongea, leo wanakula matapishi yao bila aibu.

Ni upumbavu zaidi, kuogopa kufanya mabadiliko hasa pale unapoona kuna haja na kila sababu ya kufanya hivyo kwa sababu ya pride(kuogopa kula matapishi yako).
 
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.

Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.

Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.

Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.

Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.

Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.

Dawa yao ni kuwatosa tu.
Mkuu wangi huu ni msiba mzito kwa watanzania tatizo hawa wanasiasa wa Tanzania wanafanya haya wanajua watu makini wa kuhoji haya hamna ni mwendo wa nyumbu tu.
 
Angalia kiwango cha vifo vya kina mama na watoto kipindi cha sumaye na kipindi hiki ndio uje kuongea

Kama ameona UKAWA kunamfaa amefanyaje sasa? Nape si aliropoka juzi kumsemea kua hana mpango wa Kuhamia UKAWA.
 
Ndo maana nasema UKAWA wengi wana akili za nyumbu!
Pia wanadai mabadiliko na HAWAJUI maana ya madadiliko, wakiambiwa ukweli ndo wanakuja na maneno kama hauo uliosema hapo juu!
Sina muda wakupoteza na mazuzu ya ccm yanayo sema usiku ni mchana wewe ni wakupuuzwa tu mazuzu ya ccm ni yakupuuzwa tu na kupigwa na kuzimewa na kutukanwa maana ni mazuzu!!
 
Mie sioni kama.ukawa watashinda maana,anayebaki kugombea ccm msafi mara elfu ya edo na pia edo na washirika wake waanomfuata,ni kama sasa ndo wanakisafisha ccm,kwa sababu wpte waliokuwa wanayooshewa vidole wamepata kichaka kinaitwa Ukawa
 
Sasa ni zamu ya walutheri wakatoliki wasubiri kwani wakristo ni wao tu.Asante mwalasusa kwa kumleta Sumaye

Wewe ni kaburu tu.Kwani umesikia watakuwa wanatangaza injili huko? Mtu yeyote anaeeneza udini, na ukabila katika siasa aogopwe kama UKOMA!
 
Ni upumbavu zaidi, kuogopa kufanya mabadiliko hasa pale unapoona kuna haja na kila sababu ya kufanya hivyo kwa sababu ya pride(kuogopa kula matapishi yako).
Inaitwa kuwa na msimamo, kama niliapa kutokula mavi, SITOKULA mavi kamwe! Kama uko tayari kuwa kigeugeu na kula mavi sababu ya eti mabadiliko yanayotegemewa kuletwa na hao hao wanaotaka kupinduliwa, huu ni UHAYAWANI wa level ya juu sana!
Niliiunga ukawa mkono kabla ya kuanza kuchukua makapi ya sisiemu, alipokuja Lwasa tu, NIKATAPIKA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom