Mfumo mpya wa namba za siri si salama

Mfumo mpya wa namba za siri si salama

Kwa kuflow kote huko nakupa marks 0.00%
Kiongozi, si kila namba ni namba ya siri.... BY THE WAY, KUNA WAKATI KAMA KITU HUKIJUI NI BORA UKAULIZA... kuuliza si ujinga...!!! UNAVYOZIDI KUKIELEZEA KITU USICHOKIJUA, NDIVYO UNAVYOZIDI KUONYESHA KWA KIASI GANI HUKIJUI

Hiyo namba kwenye laini inaitwa ICCID Number

It stands for Integrated Circuit Card ID, a 19- or 20-digit number that’s typically printed on the back of a SIM card. The ICCID is a globally unique serial number—a one-of-a-kind signature that identifies the SIM card itself.
IMG_20210419_203855_7~2.jpg
 
Usicho jua mimi nimeexprience.
Yaani hiyo ndo number ya siri ya laini.
Labda waleta option ya kubadili...
we jamaa kuna vitu unachanganya hapa!

labda unafikiria hio Password ndo ya MPESA AU HALOPESA.

hio ni password ya line peke ake, hata kama mtu akiwa na hio password hatoweza kufanya muamala wowote maana password ya mpesa sio hio ilioandikwa apo
 
Aliyetoa hoja ana mantiki ila vilaza ndio mnamshambulia kwa kutoelewa
 
Usicho jua mimi nimeexprience.
Yaani hiyo ndo number ya siri ya laini.
Labda waleta option ya kubadili...

option ya kubadili ipo mkuu, me natumia halotel na nilishabadili password natumia password yangu.

Kitu ambacho hakiwezekani ni kuondoa password isiwepo, hapo haiwezekani
 
Hivyo mfumo huo si salama.
Hapo mtu asipo badili namba za siri ni hatari
option ya kubadili ipo mkuu, me natumia halotel na nilishabadili password natumia password yangu.

Kitu ambacho hakiwezekani ni kuondoa password isiwepo, hapo haiwezekani
 
option ya kubadili ipo mkuu, me natumia halotel na nilishabadili password natumia password yangu.

Kitu ambacho hakiwezekani ni kuondoa password isiwepo, hapo haiwezekani

kama unatumoa iphone nenda settings then mobile data then SIM pin then Change PIN

utaweka password ya zamani (hio kwenye kikasha cha line) then utaweka mpya uta confirm basi inakua imebadilisha

kwa android sijajua wanisaide wenye nazo
 
Kwa usalama wa raia na mali zao mimi naona ni utaratibu mzuri.

Utaratibu huu utazuia matukio mengi ya kiuharifu ikiwamo ya kuiba laini ya simu ya mtu na kuitumia kutekeleza matukio ya wizi.
 
Kwa usalama wa raia na mali zao mimi naona ni utaratibu mzuri.

Utaratibu huu utazuia matukio mengi ya kiuharifu ikiwamo ya kuiba laini ya simu ya mtu na kuitumia kutekeleza matukio ya wizi.
Lakini mkuu mtu akichukua laini yako kabla hujabadili namba ya siri ni hatari
 
Yes, kila line ina hiyo kitu ila ilikuwa ni choice yako kuweka on au off ila sasa inakuwa on mda wote na hakuna option ya ku disable. Yani hata ukizima simu ukiwasha ni lazima uweke PIN ndio uendelee kutumia.
Asante kwa ufafanuzi mzuri na Mimi nimekuelewa
 
Itakuwa hujasoma vizuri.
Nimeeleza namba zimeandikwa kwenye kasha pamoja na laini yenyewe.
Hizo zilizoandikwa kwenye line ni serial number, sio number za siri, na pia, unapoweka laini unatakiwa hapo hapo ubadilishe namba za siri na kuweka zako, hizo za kwenye kikasha ni za kuanzia tu..
 
Usihofu....
Unapo sajili line kuna option ya kubadili namba za siri ambazo zipo tayari na kuweka namba unazohitaji wewe.
Ukweli ni kwamba kwa mfumo huu wanataka kujua kila mwenye laini ya simu ni nani. Ile pin ya awali hata ukiingiza pin mpya bado kwenye system wanauwezo wa kujua changes ya original pin imeenda kwa fulani. Kinachonishangaza ni kwamba yaani utadhani usajili wa laini kwa vidole haujawasaidia....
 
Yaani hata mimi nashangaa daily kusumbuana
 
Back
Top Bottom