Mfumo mpya wa namba za siri si salama

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
2,372
2,000
Hiyo ni PIN tu ya kufungulia laini mjomba siyo namba ya siri ya mpesa wala tigo pesa..then unaweza pia kuibadili na kuweka unayoitaka
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
16,170
2,000
Kwanza kabisa, hiyo namba ya siri haihusiani na miamala. Hiyo ukiiweka inaruhusu line kuanza kufanya kazi, ukikosea line haifunguki.

Bado mwenye simu atakua na namba zake za siri kwa ajili ya miamala.
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
6,643
2,000
🤭🤭🤭

Huyo jamaa nilimwelewa mwanzo ila kwa sasa nimeona hana busara kabisa
Usifike huko Jemedari, jitahidi kumwelewa na kumwelewesha, ikishindikana, hakuna haja ya kutumia haya maneno.

Uwe na siku njema Mkuu
 
Maujohnsimba

JF-Expert Member
May 20, 2018
240
250
Ni rahisi tu kubadili namba za siri.. Nimefanya hivo yangu ya halotel.. Ukiweka laini mpya kwa simu itakuletea ueke pin. Sasa ingiza pin ambazo sio sahihi mara tatu.. Laini itafungwa na kuhitaji kuweka puk. Utaingiza puk iliyopo kwenye cover ya laini yako kisha italeta set new pin kisha una comfirm.. Hivo tuu unakuwa umebadili pin.
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
16,170
2,000
Hiyo ni namba ya siri ya awali mkuu

Una habari baadhi ya mitandao walishaanza kitambo kutoa hizo namba za siri za line?
Nilienda renew line yangu ya mtandao flani ndio nikakutana na hiyo kadhia, kila ukiiweka, inatakiwa uingize namba ya siri, hats ukizima simu, ukiiwasha tu, inadai namba ya siri. Nafikiri lengo ni usalama na ufaragha.
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
6,643
2,000
🙏🙏🙏 Shukurani mkuu kwa taarifa hiyo.
Maana wasio elewa maana wananiona sina maana.
Ni rahisi tu kubadili namba za siri.. Nimefanya hivo yangu ya halotel.. Ukiweka laini mpya kwa simu itakuletea ueke pin. Sasa ingiza pin ambazo sio sahihi mara tatu.. Laini itafungwa na kuhitaji kuweka puk. Utaingiza puk iliyopo kwenye cover ya laini yako kisha italeta set new pin kisha una comfirm.. Hivo tuu unakuwa umebadili pin.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom