Mfumo mpya wa namba za siri si salama

Tatizo liko wapi hapo?
Unataka kusema hizo PIN/PUK zinatoa access ya kuingia kwenye miamala ya kifedha?
Kufanya utapeli pia sio rahisi maana watu wanahifadhi namba za simu kwenye simu, google account, icloud nk.
 
Yaani laini imeandikwa namba za siri.
Hivyo ukiidondosha mtu anafanya miamala
 
Mkuu
Alichokisema, si sahihi sana... Maana LINE inapowekwa kwenye simu huwa inatenganishwa na kipande chenye namba za siri. Hivyo mtu akidondosha laini, uwezekano wa kwamba amedondosha sehemu hiyohiyo na kipande chenye namba hiyo ni mdogo sana
Laini pia imeandikwa namba za siri
 
Mkuu
Alichokisema, si sahihi sana... Maana LINE inapowekwa kwenye simu huwa inatenganishwa na kipande chenye namba za siri. Hivyo mtu akidondosha laini, uwezekano wa kwamba amedondosha sehemu hiyohiyo na kipande chenye namba hiyo ni mdogo sana
Laini pia imeandikwa namba za
 
Mkuu

Laini pia imeandikwa namba za
Kiongozi, si kila namba ni namba ya siri.... BY THE WAY, KUNA WAKATI KAMA KITU HUKIJUI NI BORA UKAULIZA... kuuliza si ujinga...!!! UNAVYOZIDI KUKIELEZEA KITU USICHOKIJUA, NDIVYO UNAVYOZIDI KUONYESHA KWA KIASI GANI HUKIJUI

Hiyo namba kwenye laini inaitwa ICCID Number

It stands for Integrated Circuit Card ID, a 19- or 20-digit number that’s typically printed on the back of a SIM card. The ICCID is a globally unique serial number—a one-of-a-kind signature that identifies the SIM card itself.
 
Yaani laini imeandikwa namba za siri.
Hivyo ukiidondosha mtu anafanya miamala
Hiyo namba ya siri unaweza kubadili, pia number ya simcard haiwezi kuingiliana na tigopesa, mpesa nk

Mimi line yangu haina sija enable PIN lkn hata idondoke hapa hakuna mtu anaweza bashiri PIN ya kutolea muhamala
 
Kiongozi, si kila namba ni namba ya siri.... BY THE WAY, KUNA WAKATI KAMA KITU HUKIJUI NI BORA UKAULIZA... kuuliza si ujinga...!!! UNAVYOZIDI KUKIELEZEA KITU USICHOKIJUA, NDIVYO UNAVYOZIDI KUONYESHA KWA KIASI GANI HUKIJUI

Hiyo namba kwenye laini inaitwa ICCID Number

It stands for Integrated Circuit Card ID, a 19- or 20-digit number that’s typically printed on the back of a SIM card. The ICCID is a globally unique serial number—a one-of-a-kind signature that identifies the SIM card itself.
Halafu mkuu embu niulize kitu nahisi hii ni "deja vu"

Kwani laini si zilikuwaga na hizi PIN na PUK toka siku nyingi???(Wahenga tulionunua simu/laini zamani)
 
Yes, kila line ina hiyo kitu ila ilikuwa ni choice yako kuweka on au off ila sasa inakuwa on mda wote na hakuna option ya ku disable. Yani hata ukizima simu ukiwasha ni lazima uweke PIN ndio uendelee kutumia.
 
Okay nimekusoma mkuu

Na lengo haswa ni kuzuia nini ambacho hakizuiliki kwa mfumo wa sasa?
 
sio kweli mbona hicho kibati cha line ulichoweka hapo juu namba zimeandikwa kwenye hicho kibati na ukiitoa hyo line kwenye kibati chake hakuna sehemu ya kwenye line kuna hizo pin

IMG_20210419_203855_7~2.jpg
 
Tatizo liko wapi hapo?
Unataka kusema hizo PIN/PUK zinatoa access ya kuingia kwenye miamala ya kifedha?
Kufanya utapeli pia sio rahisi maana watu wanahifadhi namba za simu kwenye simu, google account, icloud nk.
IMG_20210419_203914_5~2.jpg

Kama laini ina namba za siri.
Vipi mtu akiipata
 
Ushamba unakusumbua,tangu line pini namba ikaandkwa kwenye line ya simu inaandikwa kwenye kile kibati kinachobeba line
Kama hujui kausha.
Mtu mkubwa anabishana kwa hojaongea sasa mimi na wewe nani mshamba.
Aibu tupu 🤣🤣🤣
IMG_20210419_203914_5~2.jpg
 
Back
Top Bottom