Mfumo mpya wa namba za siri si salama

Mfumo mpya wa namba za siri si salama

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,411
Habari wakuu leo nataka kujuza kuhusu mfumo mpya wa namba za siri zinazo tolewa si Rafiki kwa mtumia/mteja.

Rejea taarifa ya TCRA.
Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake.
Baadhi ya mitandao ishaanza kutoa laini hizo.
IMG_20210419_203914_5~2.jpg
IMG_20210419_203855_7~2.jpg

IMG_20210419_170452_4.jpg

Sababu ya mfumo huo kutokuwa salama ni kwamba Namba za siri zimebandikwa katika laini pamoja na kasha la laini hivyo mtumiaji akidondisha au kupoteza laini mtu ataye okota laini hiyo anaweza kuangalia namba za siri nje ya laini na kufanya miamala.
Hivyo mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA inatakiwa wafanye maboresho ya kutozionyesha namba za siri kwenye laini
 
Habari wakuu leo nataka kujuza kuhusu mfumo mpya wa namba za siri zinazo tolewa si Rafiki kwa mtumia/mteja.

Rejea taarifa ya TCRA.
Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake.
Baadhi ya mitandao ishaanza kutoa laini hizo.
View attachment 1756813
Sababu ya mfumo huo kutokuwa salama ni kwamba Namba za siri zimebandikwa katika laini pamoja na kasha la laini hivyo mtumiaji akidondisha au kupoteza laini mtu ataye okota laini hiyo anaweza kuangalia namba za siri nje ya laini na kufanya miamala.
Hivyo mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA inatakiwa wafanye maboresho kutozionyesha namba za siri kwenye laini
Utaokota hicho kikasha lakini line itabaki kwa muhusika, hapo nadhani itamlazimu kubadilisha number ya siri pamoja na puk, sasa muokotaji hatakua na acses tena
 
Usihofu....
Unapo sajili line kuna option ya kubadili namba za siri ambazo zipo tayari na kuweka namba unazohitaji wewe.
 
Habari wakuu leo nataka kujuza kuhusu mfumo mpya wa namba za siri zinazo tolewa si Rafiki kwa mtumia/mteja.

Rejea taarifa ya TCRA.
Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake.
Baadhi ya mitandao ishaanza kutoa laini hizo.
View attachment 1756813
Sababu ya mfumo huo kutokuwa salama ni kwamba Namba za siri zimebandikwa katika laini pamoja na kasha la laini hivyo mtumiaji akidondisha au kupoteza laini mtu ataye okota laini hiyo anaweza kuangalia namba za siri nje ya laini na kufanya miamala.
Hivyo mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA inatakiwa wafanye maboresho kutozionyesha namba za siri kwenye laini
Wakishasema unaweza kubadilisha hiyo PIN ukaweka uipendayo
 
Alichokisema, si sahihi sana... Maana LINE inapowekwa kwenye simu huwa inatenganishwa na kipande chenye namba za siri. Hivyo mtu akidondosha laini, uwezekano wa kwamba amedondosha sehemu hiyohiyo na kipande chenye namba hiyo ni mdogo sana
 
Utaokota hicho kikasha lakini line itabaki kwa muhusika, hapo nadhani itamlazimu kubadilisha number ya siri pamoja na puk, sasa muokotaji hatakua na acses tena
Hii njia mbona hata hapo nyuma ina_apply, i mean ukiweka line mpya unaambiwa ubadiri namba za siri
 
Utaokota hicho kikasha lakini line itabaki kwa muhusika, hapo nadhani itamlazimu kubadilisha number ya siri pamoja na puk, sasa muokotaji hatakua na acses tena
Mkuu hata laini umeandikwa hizo namba
 
Na kwenye laini zimeandikwa
sio kweli mbona hicho kibati cha line ulichoweka hapo juu namba zimeandikwa kwenye hicho kibati na ukiitoa hyo line kwenye kibati chake hakuna sehemu ya kwenye line kuna hizo pin
 
Ipo siku utapata akili kuhusu hili uliza walio pata hizo laini mpya watakwambia
Hujaelewa hivo kichwa cha Uzi wako.kigeuke uulize swali maana una elimu kidogo kuhusu hili.
 
Back
Top Bottom