Mfanyakazi wa Barrick apotelea mgodini

Mfanyakazi wa Barrick apotelea mgodini

Mkuu Secret Service njoo kipande hii. Maisha ya miners bwana dahh. Mnanikumbusha mbali sana wakuu. Mungu alisaidia nikamaliza kipindi yangu huko japokua sikua kwenye hatari sana ila nilikua naona watu wanavyopiga mzigo wa kueleweka. Mungu awape uvumilivu
 
Last edited by a moderator:

Wao wanamsemo ""unauza nguvu"" ni hatari jamaa
 
Last edited by a moderator:
1400 Scoop ni mashine kubwa, yenye nguvu. Mashine hizi hutegemewa sana kwa uzalishaji wa kifusi madini kule Under Ground, na kwa kuongeza inauwezo wa kunyenyua hadi tani arobaini kwa mkupuo mmoja kwenye kijiko (bucket

Poleni sana miner boys.. wasalimie wazee wa shop 10...
 
-Kuna washikaji wa2 waliacha kazi migodini kumbe mambo ndio kama haya?? Inatishaa sana!!
 
Wao wanamsemo ""unauza nguvu"" ni hatari jamaa

Mkuu mimi sikubaliani na wewe kwa sehemu kubwa kwenye kuelezea ugumu wa kazi na magonjwa.Cha msingi kama huna shule inabidi ufanye hiyo kazi kwa muda na malengo kwani kuifanya kwa muda mrefu ni kujitafutia matatizo.Mimi nilifanya hapo underground niliingia kama miner trainee nikafanya Long Hole kwa Hakim Mwakamba mwaka mooja then nikahamishiwa Alimak kipindi cha Eddie Szkalej kutokana na uchapa kazi wangu.Nilifanya hapo mwaka na nusu nikaacha nikaenda Kazhakstan kama Expert wa Alimak.Nimefanya huko 2 years nikarudi Dar nipo nafanya mambo yangu na nimetoa ajira kwa watanzania kadhaa.Naipenda sana Buly kwa sababu naamini imenifikisha hapa nilipo si haba aisee.
 
Unachozungumzia ni kufany kazi kwa malengo tu...kazi ni ngumu na wanaoigua wanajulikana tafuta gazeti la Raia mwema utaona! Kazi gani rahisi inazalisha wagonjwa 300 kila mwaka? Tena ulemavu na magonjwa ya kudumu kama Silicosis...wewe sema tu umeamua kujitafutia ujiko hapa! Kazi ngumu siyo mchezo wewe
 
ni vigumu kupata kazi uliyosomea watu wengi wanaanzia na u Miner lattet huwa ni vyepesi kupanda juu...mbona mimi nimekuwa miner kwa miaka 3 wakati huo nilikuwa graduate Ventilation Engneer...mwaka jana ndo nikapanda kwenye kada yangu

Sio vigumu kama unavotaka kutuaminisha ni ujanja wako tu ndo utakaokuamisha mapema na kama ukiridhika na kidogo ulichopata utaendelea kuwa miner hadi uvunjike kiuno. Mie niliingia kama mine trainee nikiwa form six leaver huwezi amini hata kabla cjauzwa kwenye vitengo ndani ya miezi 4 nikaramba usurveyor assistant asa iv nishajikataa nipo kitaa napga mishe zangu na zinasonga fresh!!
 
Unachozungumzia ni kufany kazi kwa malengo tu...kazi ni ngumu na wanaoigua wanajulikana tafuta gazeti la Raia mwema utaona! Kazi gani rahisi inazalisha wagonjwa 300 kila mwaka? Tena ulemavu na magonjwa ya kudumu kama Silicosis...wewe sema tu umeamua kujitafutia ujiko hapa! Kazi ngumu siyo mchezo wewe

Mkuu sina haja ya kutafuta ujiko eneo hili tunapotumia majina yasiyo yetu na hata hapa hujanifahamu.Nimeingia hapo Buly kama Miner Trainee na trainers wangu akina Mwakitalu,Gibu na Caroly na uwezo na mipangi niliyokuwa nayo ndiyo iliyonipa nafasi ya kwenda long hole na si Convetional kwa Fritz Kussel kwenye ma-jack leg.Kuna watu wako hapo miaka nenda miaka rudi akiwemo yule Jumbo Operator anayeitwa Mhina ambaye naambiwa kaacha hivi karibuni alikuwepo Tangu TBRJ unawajua hawa wewe?Silicosis ni tatizo kwa watu waliokuwa na matatizo yao na wewe unaweza ukiwa makini...achana na pombe za Kakola na wanawake wa hapo piga kazi miaka yako mi 3 au mi 4 utakuwa umetoka.
 
ni vigumu kupata kazi uliyosomea watu wengi wanaanzia na u Miner lattet huwa ni vyepesi kupanda juu...mbona mimi nimekuwa miner kwa miaka 3 wakati huo nilikuwa graduate Ventilation Engneer...mwaka jana ndo nikapanda kwenye kada yangu

Mkuu kuna employee wengi sana wameingia moja kwa moja kupitia fani zao nikiwa buly nimeshuhudia majank kibao Graduate geologist wakiingia, na u/g si wote wana kazi ngumu hivi matradesman/mafundi mashine, watu wa umeme na wafanyakazi wote wa kitengo cha Technical service wana msoto gani? Yaani wewe ni Graduate kabisa wa ventilation halaf unasota na makazi magumu ya miner miaka3!!? Ningekuwa ndo mimi hata miezi 2 nisingemalza mkuu ulishndwaje kujipendekeza kwa mabosi wa mining service pale ungelamba chaka tamu sababu wale mambo ya ventilation ndo wanadili nayo sana na ndo kitengo wanachokula bata katika watu wa mining, wasilimie wazee wa kulala shimoni watu wa shotcrete!!
 
Mkuu sina haja ya kutafuta ujiko eneo hili tunapotumia majina yasiyo yetu na hata hapa hujanifahamu.Nimeingia hapo Buly kama Miner Trainee na trainers wangu akina Mwakitalu,Gibu na Caroly na uwezo na mipangi niliyokuwa nayo ndiyo iliyonipa nafasi ya kwenda long hole na si Convetional kwa Fritz Kussel kwenye ma-jack leg.Kuna watu wako hapo miaka nenda miaka rudi akiwemo yule Jumbo Operator anayeitwa Mhina ambaye naambiwa kaacha hivi karibuni alikuwepo Tangu TBRJ unawajua hawa wewe?Silicosis ni tatizo kwa watu waliokuwa na matatizo yao na wewe unaweza ukiwa makini...achana na pombe za Kakola na wanawake wa hapo piga kazi miaka yako mi 3 au mi 4 utakuwa umetoka.

Umejibu nini! kwahiyo wewe unabishana na ukweli uliopo? hivi hii ndege inayopeleka wagonjwa wa migongo na viuno Muhimbili na Durban wewe huwajui au hujasikia?Hivi huyu bwana wa Bugarama aliyeumia mgongo akatelekezwa na mgodi mpaka leo mke wake akamuacha wewe wamjua? kwahyo hii ndege huwa inabeba walevi na wapenda mademu?acha kupotosha watu kama ni maujiko yapo facebook...badili profile fb uwaambie ulikuwa expert watakupa Likes na comment nzuri nzuri
 
Mtendaji @wa Kaya naona unashindwa kumuelewa captain Phillip.
Yeye anachofanya ni kukuonyesha kwamba maumivu na madhara yanatopatikana huko yanapaswa kukuonyesha kitu-kwamba uweke lengo la kuhakikisha unakaa muda mfupi katika hatari hizo then baadae utafute maisha mengine.Hikohiko ndicho unachoelezwa na baba Kelvin.
Wanakuchochea uone kuwa wako watu walipita mazingira hayo na wakaona kuna umuhimu wa kuokoa maisha yao kwa kutumia furs finyu zilizopo na hatimaye wana maisha yao mengine yasiyohusiana na mining.
Ni vyema kuchukua mbinu zao kama changamoto ya wewe kutoka huko KULIKO kuendelea kubisha hapa kwa maelezo ya kutisha(ingawa ni kweli panatisha) as if hakuna alternatives kabisa.
Sidhani kama wana haja ya kujipa ujiko hapa.
 
Exactly mkuu mimi mwenyewe ni shahidi, nimetokea hapo hapo Buly, miaka kadhaa iliyopita na nimeanzia chini kwenda juu, Barrick wamenisomesha na nimefanya nao kazi kwa miaka mingi mpaka sasa niko kwenye utumishi wa uma. Ni malengo tu. Japokua ni kweli pale mahala si mchezo, nawahurumia tu sana. Vipi @mtendaji WA KAYA jamaa hajapatikana bado?
 
Bado mpaka leo hajapatikana!
 
Mtendaji @wa Kaya naona unashindwa kumuelewa captain Phillip.
Yeye anachofanya ni kukuonyesha kwamba maumivu na madhara yanatopatikana huko yanapaswa kukuonyesha kitu-kwamba uweke lengo la kuhakikisha unakaa muda mfupi katika hatari hizo then baadae utafute maisha mengine.Hikohiko ndicho unachoelezwa na baba Kelvin.
Wanakuchochea uone kuwa wako watu walipita mazingira hayo na wakaona kuna umuhimu wa kuokoa maisha yao kwa kutumia furs finyu zilizopo na hatimaye wana maisha yao mengine yasiyohusiana na mining.
Ni vyema kuchukua mbinu zao kama changamoto ya wewe kutoka huko KULIKO kuendelea kubisha hapa kwa maelezo ya kutisha(ingawa ni kweli panatisha) as if hakuna alternatives kabisa.
Sidhani kama wana haja ya kujipa ujiko hapa.

Nimewaelewa wakuu wangu! ngoja tuangalie Plan B
 
Last edited by a moderator:
usiombe nishida tu za dunia nakueleza Hays huku chozi likinitoka
kwani nafanya na watu na degree Zao kichwani wanakwambia ndio sehemu ya kukimbilia
 
Minawatazama tu mnavyo bidhana kwamaana ya kufanya kazi kwa malengo na kutoka katika mazingira hatarishi.
Ninachoamini ni kwamba kuwa mgidini hata surface ni hatarishi kwasababu ninasababu nyingi za kusema hivyo kwasababu bulyanhulu naijua vizuri juu ya ardhi na chini ya ardhi. Binafsi nimekuwepo pale 2000-2004, nikatoka na nikarudi 2005-2006. Nikatoka nikaenda mgidi mwingine, alafu nikarudi tena 2010-2012. Hapo nikatoka na sasa nipo nje ya Tz kama expert.
Kwa uzowefu wangu ajali nyingi za vifo zimekua zikisababishwa na watu wengine au marehemu mwenyewe iwapo utachunguza kwa umakini na tujue kwamba swala la ajali linapo kuja haluangalii unamuda gani kazini. Lakini tunapo zungumzia maradhi yatokanayo na kazi, hayo husababishwa na ugumu wa kazi, pamoja na mazingira.
Pia tukumbuke kwamba hata surface kuna vihatarishi navutaja:
1-Vumbi kali
2-Kemikali
3-Kelele za kupita kiasi
4-Baruti na kadhalika
 
Kijana Fungwe Charles Wiliam aliwaaga wenzake majira ya saa 5 usiku akiwa night shift tarehe 18/05/2014,kuwa anaenda kujisaidia, kwa mazingira ya underground mtu anaweza kwenda kujisaidia sehemu yoyote yenye kificho kama drift,remuck au kwenye face,(hizo ni mining terminologies) tangu alipoondoka hadi mwisho wa shift hakuonekana hadi leo,hali ya sintofahamu imetanda mgodini,wafanyakazi hasa wa vitengo vinavyoshuka underground wana mashaka na hatima zao,wanaenda kazini wakiwa na hofu kuu,hakuna ajuaye mwenzao kaenda wapi! nguo zake zote na kitambulisho chake bado vipo,sheria za mgodi ni kuwa,mchimbaji yeyote anayeenda chini ya ardhi ni lazima aache kitambulisho chake juu,kama uthibitisho kuwa yupo chini,na hiyo ni kwa sababu za kiusalama,kitambulisho hicho ndo funguo wa kufungulia geti la kuu la kutoka nje,wazazi wa kijana huyo wapo mgodini hawajui hatima ya mtoto wao alipo,kampuni imeagiza mbwa kutoka south africa ili kusaidia ktk zoezi la kumtafuta kijana huyo ambaye dalili za kuwa hai ni asilimia 0%.
 
Hili ndilo jibu Mkuu
kwani hapa kuna watu wanataka MAUJIKO kuwa kazi ya kufanya chini ya ardhi (Jehanamu ni rahisi kivivyo) Mtenda Kaya alichotuelewesha ni kuwa hawa wenye Migodi km wa Bulyankulu wao ni pesa kwanza kwani mfanyakazi kapotea wanaambiwa kazi itaendelea na hata vyombo habari havitangazi bali ni Member wa JF
Mtendaji wa kaya wala usikate tamaa kutuhabarisha sisi watanzania kuhusu huyo mwenzetu na Wazazi wake waliofika hapo kumtafuta mtoto wao,
Hao wanaokupinga kuwa kufanya kazi Kaburini ni rahisi wana yao na usikute ni wale wanaopachikwa na maGodfather hivyo kuchota wakitakacho lakini walala hoi ni kila mahali ndio wanaoumia
huwezi kusema ukiwa kwenye kitengo cha Ventilation ni shushi wakati unaambiwa mwenzako kapotea
niheri wote kuwa na umoja ili Miner wote wawe katika maisha bora na salama
Kazi zisimame mpaka Wiliam apatikane huo wizi wa dhahabu ni hasara kwetu hakuna tunachoambulia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom