Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,205
- 5,260
Eti atakayekutana na marehemu apige simu wakati wao wanaendelea kulipua
Wangese sana hao wazungu,vipi oka kona,gofu kozi bado zipo?
Eti atakayekutana na marehemu apige simu wakati wao wanaendelea kulipua
He...!!
Mkuu, kumbe Barrick ni kaburu?
Barrick ya sasa michosho siyo kama ya miaka ya 2006 chini ya gm mracek alikuwa anamwaga mpunga kama hana akili,yaani mwezi ukiisha ila ajali mnalamba bingo,kwakweli safety ilikuwa juu maana watu wote tulikuwa na molari
Habari ndo hiyo
According to Mrema (mb) hao waliokufa bulyanhulu walifukiwa na katapila wakiwa mashimoni kwa amri ya watawala kisa waligoma kupisha mgodi kwa 'wawekezaji'.Walikuwa watu 300 na ni Wantanzania.China pia imefunga migodi yake yote baada ya watu kufa Underground.Uturuki pia imefunga migodi yote kwa sababu majuzi hapa kuna watu wamekufa mgodini.Nimesikia wizara ya Uchukuzi pia inatarajia kuzuia mabasi yote kusafiri kwenda sehemu yoyote nchini kwa sababu yanaua watu kwa ajali.
Mtendaji wa Kaya, any updates? confirm nasikia kaonekana maiti, - source sio ya uhakika sana...
Marehemu kapatikana saa tano asubuhi tukiwa tunafanya shaft inspection kati ya 4130 na 3980 level kwenye maryan compatiment akiwa ananing'inia kavaa kila kitu boots, helmet na ear plugs kasoro miwani ila waya wa taa ukiwa shingoni inaonekana ni suicide shaft imefungiwa tunasubiria mine inspector na polisi ndio mwili utolewe
Marehemu kapatikana saa tano asubuhi tukiwa tunafanya shaft inspection kati ya 4130 na 3980 level kwenye maryan compatiment akiwa ananing'inia kavaa kila kitu boots, helmet na ear plugs kasoro miwani ila waya wa taa ukiwa shingoni inaonekana ni suicide shaft imefungiwa tunasubiria mine inspector na polisi ndio mwili utolewe
Hujui ukisemacho! miner trainee anaanza na basic ya 539000Tsh...laki tano na unafanyia kazi underground! ukipanda kuja Miner 1 basic 759000Tsh...sasa niambie hiyo payment nzuri iko wapi
Hapa kuna maswali mengi yanahitaji majibuPamoja na kuwa marehemu kapatikana akiwa kaning'inia, still inahitaji uchunguzi, barrick iwajibishwe na osha na insurance ilipe. Ilikuwaje mfanyakazi aingie humo ndani completely alone na afanye kazi alone? Hakuna system ya usalama inayozuia hili kutokea? Manake otherwise kama mtu akivunjika mguu tu akashindwa kutembea atakufa hapo akijiburuza? The fact kuwa hii imechukua siku kadhaa kupata mwili, ni wazi kuna gap kubwa kwenye usalama wa wafanyakazi walio mgodi huu.
barrick, somebody gotta be fired
Kwa sasa hakuna mfanyakazi wa GGM anayelipwa chini ua Tsh.800000 tofautisha GGM na BGMLDuh aisee nikionaga wale staff wa GGM wanavvyofanyaga vurugu kwenye bar na clubs najua wanavuta fungu la maana sana! Bora tuendelee kufanya yetu mtaani na maisha raha mustarehe.
Duh aisee nikionaga wale staff wa GGM wanavvyofanyaga vurugu kwenye bar na clubs najua wanavuta fungu la maana sana! Bora tuendelee kufanya yetu mtaani na maisha raha mustarehe.