Mfanyakazi wa Barrick apotelea mgodini

Mfanyakazi wa Barrick apotelea mgodini

Hapa kuna maswali mengi yanahitaji majibu
1.Inawezekanaje mtu akaingia shaft asia.ngukie bottom level na badala yake aninginie katikati.
2.Taarifa zinasema shaft inspection ilishafanyika katika harakati za kumtafuta marehemu kwanini hakuonekana mara ya kwanza na aonekane leo?
3.Muda wote cage ilikuwa inaoparate inawezekana cage ikaoparate wakati kuna mtu ananinginia kwenye kuta za shaft?
4.Taarifa zinasema wakati wa kumpata marehemu watanzania wote hawakutakiwa kuja kazini kwanini?

wafanyakazi wote jumapili walikatazwa kwenda wakati siyo kawaida
 
Kwahiyo mnataka niambia scenario inatengenezwa kuonyesha kuwa ndugu yetu kajiua?!!
 
mule mule bwanaa! kwa hiyo 800,000 ni mshahara mkubwa?
Kuna siku nilisafiri na jamaa moja la Togo, yaani lifundi makenika huko mgodini afu linanilalamikia eti linalipwa mshahara kidogo take home $ 6,000! Kidogo nimtukane. Kwanza ni form four leaver, hajaenda hata formal school kama veta zetu hizi alichukuliwa na mzungu akaanza kutengeneza magari kanisani.

Kalaghabaho
Kwa sasa hakuna mfanyakazi wa GGM anayelipwa chini ua Tsh.800000 tofautisha GGM na BGML
 
mule mule bwanaa! kwa hiyo 800,000 ni mshahara mkubwa?
Kuna siku nilisafiri na jamaa moja la Togo, yaani lifundi makenika huko mgodini afu linanilalamikia eti linalipwa mshahara kidogo take home $ 6,000! Kidogo nimtukane. Kwanza ni form four leaver, hajaenda hata formal school kama veta zetu hizi alichukuliwa na mzungu akaanza kutengeneza magari kanisani.

Kalaghabaho
Nia yangu yangu ni kuweka kumbukumbu sawa mkuu simaanishi kuwa 800,000 ni package kubwa
 
Back
Top Bottom