cheze
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 501
- 330
Mbongo akipata cheo husaliti mpaka nafsi yake ...Captain Philip ni mmoja wapo! upotoshaji wangu uko wapi? miners hawapewi simu'huyu bwana hajapatikana'mgodi upo 3940 level toka usawa wa ardhi'hofu mgodini ipo'300wagonjwa na hufa vyombo mbalimbali vimetafiti hadi bungeni imesonwa! upotoshaji wangu uko wapi? tena umeniobgezea machungu Manina wewe...mwenzetu hayupo wewe unasema napotosha! ebo...
kitu cha kusikitisha ni uzalishaji unaendelea wakati mfanyakazi haonekani.Hii inaonyesha jinsi gani kuna wawekezaji wapo juu ya sheria.Haya ni maisha ya wafanyakazi, watu wasilete utani, leo ni siku ya ngapi sijui mtu haonekani alafu bado watu wanashurutishwa kazi.Kweli kutoka moyoni kwa dhati kabisa huu ni ubinadamu kweli?