POlenisana wafiwa. Hata hivyo Barrick wana viwango vya juu Safety and Health. Ni bahati mabaya naamini,
Mpaka saa 2 usiku huu timu ya uokoaji haijafanikiwa kumpata mfanyakazi huyo! Peter Burger meneja mkuu wa kampuni amesema watatumia wataalam wa kimataifa...hali si shwari
alafu mtu akifa ndo dhahabu inapatikana nyingi!
Poleni watanzania na hasa Wachimbaji mnaoshuka ardhiniSijajua kama kuna ukweli
Watanzania Tunakufa huku hawa Wazungu wakiondoka na Dhahabu na pia hawafanyi kazi ngumu kama wanazofanya hawa Watanzania lakini Mshahara wao mkubwa zaidi ya mara 3 wa hawa wafanyao kazi ngumu.
Hiyo kawaida in normal life cku zote anaye2mia nguvu sana ndio hupata mshahara kiduchu kuliko yule atumiaye nguvu kidogo.
Hiyo kawaida in normal life cku zote anaye2mia nguvu sana ndio hupata mshahara kiduchu kuliko yule atumiaye nguvu kidogo.
Kuna level moja hapo inaitwa 1800 Kama (sijakosea) 44 east ilichomoka na raia kibao.msalimie Chundu
Poleni watanzania na hasa Wachimbaji mnaoshuka ardhini
Mpaka saa hizi hakapatikana?
Niliuona uokoaji wa Wachimba mogodi huko Chile kwenye Luninga, wao walikuwa na vifaa vingi vya mawasiliano.
NI kweli hatujafikia huko ? ili kila anayeshuka shimoni akawa na mawasiliano?
Maana hakuna tofauti na Kaburi mtu kuzama peke yako
Nashukuru mungu maisha yangu ya mgodini miaka mitano ,nimetoka salama,tuombe mungu huyo miner mwenzetu apatikane akiwa hai,
alafu mtu akifa ndo dhahabu inapatikana nyingi!