Mfanyakazi wa Barrick apotelea mgodini

Mfanyakazi wa Barrick apotelea mgodini

Hii ni unethical kabisa, huyu manager mkuu wa mgodi anawajibika kwa hili.

Mh hivi inawezekana kweli? Maana sheria za nchi zimekiukwa
mpka aje zonal mine officer akubali sasa kama amekubali tusiwalaumu wazungu ni udhaifu wa watu wetu kuweka rushwa mbele
 
Poleni sana jamani. Mungu amtoe salama huko aliko. Halafu hizi rate ni vyeti gani certicate, diploma au degree? Lakini still walipaswa kulipwa vizuri maana high profit org wenzao wa kampuni za mafuta hata certificate wanalipwa vizuri sana. Ni bora kulima basi nimesoma hapa risk ni kubwa sana Mungu awasaidie
Hujui ukisemacho! miner trainee anaanza na basic ya 539000Tsh...laki tano na unafanyia kazi underground! ukipanda kuja Miner 1 basic 759000Tsh...sasa niambie hiyo payment nzuri iko wapi
 
Level aliyopotelea mhanga inaitwa 4130 kuna madai tofauti kuhusu kupotea kwake,(1) mashine hatari kabisa iitwayo scoop na yenye nguvu za kutisha ilimgonga,na kisha operator wa mashine ile kumbeba ktk mashine na kisha kumtupa ktk shimo refu maarufu kwa jina la open hole ili kuficha ushahidi.(2)alipowaaga wenzake kuwa anaenda kujisaidia bila shaka kwa bahati mbaya mno akatumbukia ktk open hole ambayo ipo kama mita 20 tu kutoka pale alipokuwa na wenzake.(3)kachukuliwa na majini au mizimu,mimi ni mfanyakazi wa BARRICK kitengo cha chini ya ardhi,japokuwa wengi hawasadiki ila kule chini kuna mauzauza mengi sana,siku moja miezi miwili tu iliyopita saa 11:30 jioni nikiwa nimechelewa kutoka chini ya ardhi ktk level ile ile ya 4130 aliyopotelea mhanga,niliitwa na mtu asiyeonekana,sikuitika,na mahali pale watu wote walikuwa wametoka ilikuwa maeneo ya rockbreaker.
 
....Hii kitu balaa inanguvu balaa kifaru chamtoto !!!

1203961.jpg
 
Kuna siku nilikuwa level ya 3946 Nikakutana na Paka wawili weusi! niliogopa sana sababu ni mbali mno kutoka surface huyo paka aliingiaje...kama inachukua nusu saa kwa gari kufikia kule sasa paka wanafikaje huko
 
Nlivomaliza chuo nlikua matamani sana kufanya kazi hapo mgodini kakola,bro wangu mi mfanyakazi anafanyakazi hapo na anacheo kidogo,alinikatalia katakata kufanya kazi hapo,alinichukiza sana na kwa bahati mbaya akua na sababu za msngi za kunizuia..ila sasa nmeanza kumuelewa taratibu....
 
kazi ngumu mshahara mdogo ata laki 8 haifiki jaman,alaf ni underground angalau ata buzwagi iko open pit.wakati expert ambaye mponae kitengo kimoja na afanyi kaz kama wewe anakula zaidi ya mil 5,na risky kibao serikali ipo kimya wakati watanzania wananyonywa.

expert,,unongelea mtu tofauti mkuu
 
yeah kaka nakumbuka mara nyingi nkiwa narudi na dash Dar uwa naendaga na washkaji kama wa4 au wa5 wanaenda kutibiwa mana wanasema disc zshakua hoi
 
Level aliyopotelea mhanga inaitwa 4130 kuna madai tofauti kuhusu kupotea kwake,(1) mashine hatari kabisa iitwayo scoop na yenye nguvu za kutisha ilimgonga,na kisha operator wa mashine ile kumbeba ktk mashine na kisha kumtupa ktk shimo refu maarufu kwa jina la open hole ili kuficha ushahidi.(2)alipowaaga wenzake kuwa anaenda kujisaidia bila shaka kwa bahati mbaya mno akatumbukia ktk open hole ambayo ipo kama mita 20 tu kutoka pale alipokuwa na wenzake.(3)kachukuliwa na majini au mizimu,mimi ni mfanyakazi wa BARRICK kitengo cha chini ya ardhi,japokuwa wengi hawasadiki ila kule chini kuna mauzauza mengi sana,siku moja miezi miwili tu iliyopita saa 11:30 jioni nikiwa nimechelewa kutoka chini ya ardhi ktk level ile ile ya 4130 aliyopotelea mhanga,niliitwa na mtu asiyeonekana,sikuitika,na mahali pale watu wote walikuwa wametoka ilikuwa maeneo ya rockbreaker.

Kaka napaogopa sana underground mine, hiki ulichoelezea nazidi kuogopa.
 
Wanajamvi, kuna tetesi za kutoweka kwa mfanyakazi mmoja ndani ya mgodi wa dhahabu wa Barrick bulyanhulu na leo ni siku ya tatu sasa tangu mfanyakazi huyo alipo toweka akiwa kazini (ndani ya mgod).
Hapa najaribu kujiuliza maswali kadhaa kuhusiana na tukio hili kwani nijuavyo mimi mgodi una nyenzo na taratibu ya za kielekroniki kwa kila mfanyakazi aingiapo na kutoka eneo la mgodi na ndani ya mgodi.
Tafadhali wana jukwaa kama kuna mwenye taarifa sahihi au tetesi hizi atujuze.
 
Kuna thread iko hapa muda mrefu ya kuelezea jambo hilo. Inasikitisha sana.
 
Hii thread ni hatari.
Binafsi nampongeza William.Kupotea kwake kumefanya na sisi wengine kujua kinachoendelea kwa sehemu huko migodini.
Hadithi zilizoko mitaani ni tofauti na mambo yalivyo huko migodini.
Nina rafiki yangu Yuko kwenye kampuni moja kubwa tu ya uchimbaji madini huwa akiwa likizo hataki kabisa kuelezea habari za migodini.
Yeye ni kukusanya marafiki na wanafamilia na kutumia pesa tu.Anatumia pesa kama hajali vile nikahisi atakuwa anateseka sana kazini hivyo akirudi uraiani anaona kama Yuko paradiso.
MUNGU aendelee kukulinda rafiki yangu uishi maisha marefu yenye afya na mafanikio tele.
 
Back
Top Bottom