Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

ichunguzwe wapi Ibrahim Ali akaro
 
Nilipita kwenye msiba kule sambarai kibosho aseeee Kuna wengine wanadai mikopo ya mtu KWA mtu , mara huyu dollar 1000 , mwingine dollar 5000 aseeee


Cha ajabu ni kuwa mazishi yamefanyikia kwenye. Boma / Nyumba yake ya sambarai walahi ni Nyumba ya kisasa bin vuuuuuuuuh


Issue ni hii je itapigwa mnada ?? Maana Kuna kabuli mule ndani ya Nyumba .



Wako

Dalali mtembezi
 
Kama hayo madeni yana ushahidi wa kueleweka wa kusainishana mkataba wanaweza wakauza nyumba sasa hapo atakuwa amewaachia wakati mgumu familia yake.
 
Ni kweli kabisa mkuu, kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kuliko ashuke kiuchumi kufikia kufilisika ni bora asiishi tena. Pesa nyingi ina risk sana kuimaintain
Money driven......hao ndio wanaouwa wengine sababu ya pesa. Ikiwa anaweza kujiua yeye vipi akipata. Chance kwa wengine?
 
Kwa dunia ya sasa ni rahisi watu wakakutoa uhai wakakuwekea mazingira ili uonekane umejinyonga.

Visingizio ni Madeni, Mapenzi, migogiro ya familia au biashara.
 
Inasemekana baadhi ya wanaomdai wana kadi za gari zake, ila kuna baadhi ya watu wakikukopesha hutokaa ulipe mwisho wa siku wanachukua ulichoweka kama dhamana na mara nyingi huwa kina thamani zaidi ya kiasi ulichokopa.
 
Wengi tuna amini pesa ndo kila kitu asa sijui pesa ipi wakat hata kumaintain vile hela vidogovidogo ni changamoto. kiukweli afya ya akili ni ya mhimu sana kuliko pesa. Sas pesa imegeuka kuwa chazo cha matatizo ya afya ya akili sad. Ukombozi wa kifikra unahitajika ndg zetu wanaisha😢
 
Afya ya akili ikishavurugika ni shida sana, msongo wa mawazo ni kitu kibaya sana maishani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…