Mfanyabiashara wa madini, Mathias Manga apigwa risasi

Mfanyabiashara wa madini, Mathias Manga apigwa risasi

Habari niliyopata dakika kidogo ni kuwa Mathias Manga yuko vizuri na ni kweli alivamiwa hiyo jana na amejeruhiwa tu na hata hajalazwa na kwa muda huu yupo anaelekea uwanja wa ndege KIA kumpokea fisadi mamvi atakeye kuwepo leo hapa Jiji Arusha.

Kwa ujumla Mathias Manga yuko salama na kajeruhiwa kidogo tu!
Basi huyu jamaa atakuwa kapigwa na pistol ya maji kama leo yupo fit anapiga misele mpaka airport.
 
Sio bilionea. Angekuwa nazo si angemaliza lile jengo pale matejo?
 
Mkuu acha papara amesema marehem alikua anawakosesha usingiz mahasimu wa lowasa kwa hiyo marehem akikua anamuunga mkono lowasa ss pigo kwa lowasa linatokea wap

cna uhakika na kiswahili chako,ila pigo kwa Lowasa kwa kumpoteza mtu anaemuunga mkono na sio pigo kutoka kwa Lowasa, nafkir upo mkuu!
 
biashara ya madini imezungukwa na utapeli asilimia 100%
so sishangai huyo mtu kupga rsasi
sorry for typos
 
Hao wapiga risasi ni mambwiga kweli risasi tatu unampiga mtu pajani?
afu ndo wanasema walitumwa kuua

yani ila watu wa arusha uwezi jua, unakuta wameenda uko migomba ishaumiza mishipa ya taya, kuona F anaona miguu ndo kifua,,,lol
 
Dakika mbili zilizopita umemuhusisha Lowassa na hizi habari na umesema ni pigo kwa Lowassa sasa hivi unatuambia majambazi.

Wewe kiboko.

hiv, hata ingekuwa ni alshabab pigo kwa Lowassa c lingekuw palepale!?? Tofautisha kati ya pigo kwa.. Na pigo kutoka kwa..
 
Nimeamini kweli ww nikiereere,issue hapa siyo ubilionea issue ni mtu kupigwa risasi

Wewe sio mzima...kuna haja gani mtu kuandika "Bilionea kapigwa risasi"" angeweza kuandika tu ""diwani wa sehemu flaniapigwa risasi"" au "flani apigwa risasi" kama ni mtu anaefahamika....sasa swali langu ni je....matumizi ya neno "Bilionea" yanaendana na uhalisia wa watu hao?? Maana kila kijana akifa Arusha ....BILIONEA KAFA!!!! Khaaaa !!! Tanzania tuna mabilionea wangapi?? au kila kijana anaefanya biashara ya madini Mbuguni tu ni bilionea??
Tumia ubongo wako kutafakari nilichokizungumza....usitumie "masaburi"
 
Ni mazoea ya watu tuu Mkuu.

Ila Hakuna kipimo wala kigezo sahihi cha kuwa neno " bilionea " litumike kwa Nani na lisitumike kwa Nani,

Binafsi, huyo mathias manga ni mfanyabiashara wa madini , na kama ni pesa kuna nayo anayo...
 
Mabilionea wa mawe ni Sunda wa eraq maing na marehemu msuya mali zao zinaonekana.
 
Back
Top Bottom