dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,881
- 2,091
Arusha kwa sasa sio sehemu salama ya kuishi.
Haswa kama UNA VISASI na KUDHULUMIANA pesa au mali.
Arusha kwa sasa sio sehemu salama ya kuishi.
Arusha kwa sasa sio sehemu salama ya kuishi.
Poleni wafiwa, jamani siasa si ugomvi siasa ni sera na hoja.
Arusha kwa sasa sio sehemu salama ya kuishi.
Hao wapiga risasi ni mambwiga kweli risasi tatu unampiga mtu pajani?
Sio Lema kweli?Kwa hiyo, akina nanihii ndio wamemtwanga risasi sio? Lakini wale staili yao si kung'oa kucha?
hajafaPoleni wafiwa, jamani siasa si ugomvi siasa ni sera na hoja.
Yaani usiku kapigwa risasi, lakini leo anaenda kumpokea mgeni ,huyo hajapigwa wala kajeruhiwa.Habari niliyopata dakika kidogo ni kuwa Mathias Manga yuko vizuri na ni kweli alivamiwa hiyo jana na amejeruhiwa tu na hata hajalazwa na kwa muda huu yupo anaelekea uwanja wa ndege KIA kumpokea fisadi mamvi atakeye kuwepo leo hapa Jiji Arusha.
Kwa ujumla Mathias Manga yuko salama na kajeruhiwa kidogo tu!
Habari niliyopata dakika kidogo ni kuwa Mathias Manga yuko vizuri na ni kweli alivamiwa hiyo jana na amejeruhiwa tu na hata hajalazwa na kwa muda huu yupo anaelekea uwanja wa ndege KIA kumpokea fisadi mamvi atakeye kuwepo leo hapa Jiji Arusha.
Kwa ujumla Mathias Manga yuko salama na kajeruhiwa kidogo tu!
Mathius Sio Bilionea Nimmachinga Tu Anayechuuza Tanzanite Pale Arusha Nairobi Mi Namjua Sana Ni Mrushi Mdhulumati Hapa Alitaka Kufanywa Erasto Msuya Vitu Vya Watu Sio Vizuri Msisingizie Siasa
![]()
Wakuu salama?
Hatimaye siasa za Tanzania zachukuwa sura mpya.
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Mathias Manga, bilionea wa jiji la Arusha, na Diwani wa Kata ya Mlangarini Arumeru Magharibi (CCM), amepigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akielekea nyumbani.
Imeelezwa kuwa watu hao walifanya jitihada zote lengo ilikuwa ni kumteka lakini mfanyabiashara huyo alijitetea mpaka akajitoa ndio wakaamua kumpiga risasi.
Niko nafuatilia kwa karibu kujuwa soon nitawapa updates japo kwa habari za haraka haraka wanasema kuna siasa ndani yake.
======================
Updates