Mfanyabiashara wa madini, Mathias Manga apigwa risasi

Mfanyabiashara wa madini, Mathias Manga apigwa risasi

Tunataka tujue kama kafa au kapona tuambizane vizuri mleta mada ijazie kidogo tarifa yako.
 
Hao wapiga risasi ni mambwiga kweli risasi tatu unampiga mtu pajani?
 


...Imeelezwa kuwa watu hao walifanya jitihada zote lengo ilikuwa ni kumteka lakini mfanyabiashara huyo alijitetea mpaka akajitoa ndio wakaamua kumpiga risasi...


Imeelezwa na nani? Ina maana kuna eye witness(es) katika tukio hili?
 
Hata watu waliohusika na jaribio hilo la kumvamia na kumpiga risasi, nao wanaweza kuja humu JF ku comment kuwa mfanyabiashara Mathias Manga amepigwa risasi. ili wajue watu wanasemaje! lkn tunawahakikishia kwamba watajulikana na mbele ya mungu hawawezi kufanikisha azma yao. ss tunamuombea mkurugenzi wetu afya njema na maisha marefu.
 
Tukio nilakweli lkn hakupata madhara makubwa, risasi Ilimkwaruza kwenye paja alienda hospital usiku ule ule akatibiwa nakuluhusiwa kuludi Nyumbani.
nakuluhusiwa -kuruhisiwa
kuludi-kurudi
 
Kwa hiyo, akina nanihii ndio wamemtwanga risasi sio? Lakini wale staili yao si kung'oa kucha?

Mkuu,wangemgoa kucha kama wangemkamata.kwa kumpiga risasi ya mgongoni nadhani ni baada ya jamaa kukimbia..walidhani washamaliza..kama wangemchukua mzimamzima lazima wangem~ulimboka
 
Back
Top Bottom