Mfanyabiashara wa madini, Mathias Manga apigwa risasi

Mfanyabiashara wa madini, Mathias Manga apigwa risasi

Kwa nini iwe siasa na isiwe kudhulumiana kwenye biashara zake?

Ni kweli kabisa Inawezekana ikawa ni mambo ya biashara... hakuna taarifa rasmi hadi sasa zinazoweza kuthibitisha kuwa ni Ujambazi, Siasa au ni kisasi..?
 
Tukio nilakweli lkn hakupata madhara makubwa, risasi Ilimkwaruza kwenye paja alienda hospital usiku ule ule akatibiwa nakuluhusiwa kuludi Nyumbani.

Duh nakumbuka kuna waganga wanaojisifu kuwa wakikupa dawa risasi inateleza tu.

Sio lazima kuwa inahusika hapa.
 
Habari za uhakika kutoka Arusha mfanyabiashara wa mawe, Mathiasi Manga jana usiku wakati akirudi nyumbani alizamiwa na majambazi katika kupambana walifanikiwa kumpiga Mathiasi Manga risasi ya bega .habari ambazo nimezipata Mathiasi ameshatoka hosptali yupo anaendelea vizuri .majambazi walikuwa na nia za kumuua lakini hawakufanikiwa.
 
Tukio nilakweli lkn hakupata madhara makubwa, risasi Ilimkwaruza kwenye paja alienda hospital usiku ule ule akatibiwa nakuluhusiwa kuludi Nyumbani.
Kwa hiyo bilionea wa Arusha yupo hai anaendelea vizuri.
 
Habari za uhakika kutoka Arusha mfanyabiashara wa mawe Mathiasi Manga jana usiku wakati akirudi nyumbani alizamiwa na majambazi katika kupambana walifanikiwa kumpiga Mathiasi Manga risasi ya bega .habari ambazo nimezipata Mathiasi yupo hospitali na anaendelea vizuri .majambazi walikuwa na nia za kumuua lakini hawakufanikiwa .
Dakika mbili zilizopita umemuhusisha Lowassa na hizi habari na umesema ni pigo kwa Lowassa sasa hivi unatuambia majambazi.

Wewe kiboko.
 
Habari za uhakika kutoka Arusha mfanyabiashara wa mawe, Mathiasi Manga jana usiku wakati akirudi nyumbani alivamiwa na majambazi katika kupambana walifanikiwa kumpiga Mathiasi Manga risasi ya bega. Habari ambazo nimezipata Mathiasi yupo hospitali na anaendelea vizuri. Majambazi walikuwa na nia za kumuua lakini hawakufanikiwa.
 
Arusha imekuwa kama Soweto wakati wowote unaweza kutolewa uhai wako.

Maccm ndio yanaharibu usalama wa Arusha, Uzuri wanaarusha wanaelewa Adui yao ni nani! Na aliewashauri kuleta Mfumo wa BVR na changamoto zake ndio kawamaliza zaidi? Asilimia kubwa wanasema wamejiandikisha kwa tabu lkn Watayahakumu Maccm kwa Raha yaani shughuli Inaisha mapema..!
 
Hizi habari kama za kweli Lowassa atakuwa amepata pigo kubwa sana.

Mkuu acha papara amesema marehemu alikuwa anawakosesha usingizi mahasimu wa Lowassa kwa hiyo marehemu akikua anamuunga mkono Lowassa ss pigo kwa Lowassa linatokea wapi
 
Naona system inafanya jitihada zote kuzuiya mafuriko ya El,hapa bila kumumunya maneno wazee wa kungoa kucha wamehusika,huyu jamaa amekuwa mstari wa mbele sna kumsapoti lowassa,team membe mko wap??mmeamuwa kupita shortcut baada ya kuzidiwa na mamvi?

Dah, wabongo kila kitu sie tunakijua iwe siasa, mziki kila mtu mwimbaji, ziwe kesi, iwe mpira kila mtu kocha yaaani dah!
 
Dakika mbili zilizopita umemuhusisha Lowassa na hizi habari na umesema ni pigo kwa Lowassa sasa hivi unatuambia majambazi.

Wewe kiboko.

Yaani watu wana mahaba mpaka wanaonesha rangi zao
 
Habari za uhakika kutoka Arusha mfanyabiashara wa mawe Mathiasi Manga jana usiku wakati akirudi nyumbani alizamiwa na majambazi katika kupambana walifanikiwa kumpiga Mathiasi Manga risasi ya bega .habari ambazo nimezipata Mathiasi yupo hospitali na anaendelea vizuri .majambazi walikuwa na nia za kumuua lakini hawakufanikiwa .

Chanzo chako cha habari sio sahihi! Hakupata jeraha kubwa alipata matibabu nakuruhusiwa Usiku ule ule.
 
tutoe pole kwa wafiwa, mpaka polisi watakapotoa jibu la mwisho la upelezi...
 
chanzo chako cha habari sio sahihi! hakupata jeraha kubwa alipata matibabu nakuruhusiwa Usiku ule ule.
Kama hakupata majeraha huko hospitali alienda kufanyiwa matibabu gani
 
Back
Top Bottom