Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Arusha ya sasa ina mambo kwakweli:
Mabomu kwenye mikusanyiko - Arusha
Ujambazi - Arusha
Kufumaniwa - Arusha
Kufia kwenye vifua - Arusha

Ee Mungu tuondolee laana hii

Mabilionea kufa - Arusha
 
Kwa hiyo kigezo ni lodge?
Kwa hiyo kwa ujumla Arusha kuna mabilionea wangapi?

Nafikiri hawa mabilionea wa Arusha wangekuwa wana lipa kodi vizuri Barbara zingepanuliwa vizuri!

mimi hata sijuagi maana ya bilionea, hivi mtu kuitwa bilionea wanatumia vigezo gani?
 
Kitabu gani kitakatifu kilichoandika kwamba kutumia Viagra ni dhambi? Hebu tuwekee aya please! Hata Malaya husamehewa dhambi zao.

Alietumia viagra ili amkomeshe malaya nae muumba amuwekw peponi?? Embu msimpangie MUNGU mwacheni afanye kazi yake
 
ndiyo hapo mtu anataka kumkomesha mwanamke katika kufanya mapenzi kumbe unakuta unajikomesha mwenyewe tu...r.I.p bilionea wa atown
 
Ndugu yake ni KANALI METILI aliyewahi kugombea ubunge NCCR Arumeru magharibi.

ahsante, Kanali METILI ni rafiki yangu tulimpigia sana debe awe mbunge if not 1995 ni 2000 but Elisa akatuzidi kwa ujanja wa fweza, kila mtaa alikuwa anachinja ng'ombe na bia, alipolalamikiwa kuhusu rushwa akadai yeye ni laigwanan hivyo kila afikapo lazima kuwe na chakula. akashinda aisee!!
 
hivi ni kipi kimethibitisha kuwa kafariki na hizo dawa....pia metili huyo sio huyo wa ilboru lodge..forensic investigation ndio yenye authority ya kutoa maelezo juu ya kifo chake.
 
Back
Top Bottom