Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

Mfanyabiashara maarufu Arusha Olais Metili afia guest

I dreamed I had an interview with God.

"So you would like to interview me?" God asked.

"If you have the time" I said.

God smiled. "My time is eternity."
"What questions do you have in mind for me?"

"What surprises you most about humankind?"

God answered...
"That they get bored with childhood,
they rush to grow up, and then
long to be children again."

"That they lose their health to make money...
and then lose their money to restore their health."

"That by thinking anxiously about the future,
they forget the present,
such that they live in neither
the present nor the future."

"That they live as if they will never die,
and die as though they had never lived."

God hand took mine
and we were silent for a while.

And then I asked...
"As a parent, what are some of life lessons
you want your children to learn?"

"To learn they cannot make anyone
love them. All they can do
is let themselves be loved."

"To learn that it is not good
to compare themselves to others."

"To learn to forgive
by practicing forgiveness."

"To learn that it only takes a few seconds
to open profound wounds in those they love,
and it can take many years to heal them."

"To learn that a rich person
is not one who has the most,
but is one who needs the least."

"To learn that there are people
who love them dearly,
but simply have not yet learned
how to express or show their feelings."

"To learn that two people can
look at the same thing
and see it differently."

"To learn that it is not enough that they
forgive one another, but they must also forgive themselves."

"Thank you for your time," I said humbly.

"Is there anything else
you would like your children to know?"

God smiled and said,
"Just know that I am here... always."

-author unknown

Tanzania kuna billionea mmoja tu
 
Kuvamia haya madawa bila kuongea na Dr ili kupata recommendation yake ni hatari sana, wengi wamepoteza maisha katika nchi nyingi duniani na wengine kuwa vipofu. Poleni wafiwa, Muumba wetu ailaze roho ya mareheme mahali pema peponi~AMEN.

Uzinzi utawaondoa wengi sn hapa duniani,mungu amuweke mahala anapostahili
 
sabas.jpg
Kamanda wa Polisi, Liberatus Sabas.

Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha, Olais Metili mkazi wa Uzunguni jijini hapa, amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya Hoteli Diamond Motel iliyopo eneo la Sakina jijini hapa.

Mwili wa mfanyabishara huyo anayemiliki mali mbalimbali ikiwamo mgahawa wa Bite Bite na duka maarufu la vinyago eneo la Kisongo uligundulika jana saa 7:00 mchana, wakati wahudumu wa hoteli hiyo wakitaka kufanya usafi chumba alichokuwa amepanga.

Mfanyabiashara huyo mwenye umri unaokadiriwa kufikia miaka 56 , ilidaiwa aliingia hotelini hapo na mwanamke mmoja ambaye hata hivyo, haikujulikana muda ambao alitoka.

" Metili (Marehemu) alifika katika hoteli hiyo akiwa ameongozana na mwanamke mmoja ambaye hajafahamika na kuingia katika chumba chake na haijulikani aliondoka muda gani huyo mwanamke," alisema mmoja wa wahudumu wa hoteli hiyo.

Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Liberatus Sabas hakupatikana jana kuelezea taarifa za awali za uchunguzi wa kifo hicho, lakini maofisa wa polisi waliuchukua mwili huo, wakisema huenda kesho taarifa itatolewa rasmi.

Tukio hili, linakumbusha kifo cha Kada wa CCM, Mjumbe wa Kamati ya utekelezaji ya UVCCM Taifa, Benson Mollel ambaye alifariki dunia katika hoteli ya Lash Garden eneo la Jakaranda ambapo pia alidaiwa aliingia katika chumba hicho na mwanamke.

Matukio ya kufa katika nyumba za wageni, katika jiji la Arusha, yanahusisha na matumizi ya pombe kali au dawa za nguvu za kiume kwa wanaume wengi ambapo dawa zimekuwa zikiuzwa katika maeneo mengi jijini hapa bila ya udhibiti mkali.


Source: Mwananchi

http://www.mwananchi.co.tz/habari/K...esti-/-/1597296/2436118/-/fh0tp1/-/index.html
 
Police wataeleza chanzo, kama ni uzinzi pole yao....sana tu
 
Hizo ndio faida za uzinzi.
Na huko anasubiriwa kusulubiwa,kifo chake ni sawa na Teja kumuuzia bangi Kova.
Members wenzie mpooo?we unajificha Binaadam ila mungu anakuona,huo ni mfano tu mungu anataka kutupa ushuhuda kwamba yupo na vitu hivyo havipendi na ataadhibu.
Mungu ailaze roho ya Marehem Mahala panapostaahili alipofikia Kanumba.
 
Hahaha vipi huyu hakuwa bilionea, maana Arusha imejaa wafanyabiashara mabilionea
 
Pole zake,
Pumzika tu kwa amani huko uendako, ya dunia yalikusonga sana.
 
bado kuna mwingine ana kampuni ya ku service minara(jina kapuni) maana anatomba mpaka watoto wake na ndugu zake ..
 
bado kuna mwingine ana kampuni ya ku service minara(jina kapuni) maana anatomba mpaka watoto wake na ndugu zake ..

Ahhh kigogo hpo umeongopea kula mtoto wke ila makoloni y pembeni anayo yakutosha,wife mwenyewe kma nyumba hata ingekua mimi ningechepuka balaa,istoshe mzee metili ni mtu w bata sana tunaomjua hatujashangaa kifo chake
 
Ubilionea ni jina ambalo watu wa arusha wameamua kuwapa watu wenye vipato vya juu kuwazidi, hivyo sioni ajabu, ni kama watu wa pwani na jina la mwinyi, si ajabu kusikia watu wakiitana mwinyi...
 
bado kuna mwingine ana kampuni ya ku service minara(jina kapuni) maana anatomba mpaka watoto wake na ndugu zake ..

mkuu unamzungumzia yule babu wa ile kampuni ya kaskazini,
 
ni bilionea.Aanayo hotel ya nyota tano inaittwa Iilboru Lodge.. Watalii wanapenda sana kufikia hapo.


sasa hotel ya nyota 5 itakuwaje Lodge!????

btw hiyo Gari yake aina ya Land Cruaser aliendesha mwenyewe au alikuwa na dereva..?

R.I.P bilionea
 
Ni kweli Ilboru Lodge ni ya Metili ila co Marehemu ni ya mdogo wa na marehemu,ila sasa anamiliki mzungu kama vile mkataba tu ataondoka kurudi kwao mali ibaki kuwa ya Metili,aliyesema ni ya metili hajakosea
 
afya mgogoro alafu unatumia viagra haifai kabisa........
 
Back
Top Bottom