Niamini Mimi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2023
- 435
- 657
Kivipi?!!!Anakosea sana kujiita Mungu
Kivipi?!!!Anakosea sana kujiita Mungu
Tatizo la hii gavoo inawapa uhuru mkubwa sana hao matapeli wa kimadhehebu kuendelea kufirisi masikini.Anakosea sana kujiita Mungu
Mtaje huyo wziriJirani nasikia ni Waziri fulani....ndio maana vita ni kubwa.
Mwanamke aweza kuwa mfalme? Limwana mke sagaji hilo.Na anapewa pesa na mashirika ya wasagaji ana utajiri sio wa sadaka ni wa kutoka mashirika ya wasagajiWamuache mfalme.
Huyo bibi nadhani kungekuwa na chupi za ccm basi angemetisha huyo humuambii kitu ndo mtaji wa ccm uliobaki.Wafuasi wa zumaradi na wafuasi wa CCM hawana tofautii hataa kdg ....View attachment 3334885
Ni msagaji huyo Zumaridi ndio maana huitwa mfalne sio malkia ZumaridiKama yeye sio Mungu?
Basi wamuonyeshe huyo wanayezani ndiye?
Uhuru wa kuabudu unaingiliwa na katiba inavunjwa
Wakamatwe hili iweje kwaiyo nchi hii akuna uhuru wa watu kuabudu wanacho kiamini?Duh, wakamatwe nawafuasi wake....
Una ushahidi mkuu?Ni msagaji huyo Zumaridi ndio maana huitwa baba sio mama na wanawake
Ushoga na usagaji haukubaliki Tanzania hata ukiwa kanisaniWakamatwe hili iweje kwaiyo nchi hii akuna uhuru wa watu kuabudu wanacho kiamini?
Wewe umefika mtu wa 4 kusema hiki kitu mkuu.Leo nimeamini nikweli 100%Mwanamke aweza kuwa mfalme? Limwa mke sagaji hilo.Na anapewa pesa na mashirika ya wasagaji ana utajiri sio wa sadaka ni wa kutoka mashirika ya wasagaji
Yuko mwingine anaitwa nabii Yasip Paul Bendera kanisa lake liko Buza ,Temeke. waumini wa kike humwita Baba Nabii ni msagaji pesa hupata toka kwa mashirika ya Lesbians
Boss wao wote wawili ni mtume askofu Paul Bendera ana kanisa Kijitonyama ,Dar es salaam linaitwa Revealation Church of Tanzania au kiswahili huitwa kanisa la ufunuo limeficha siri la kufunuana marinda nkndio kashika mfumo wa makanisa ya mashoga na wasagaji Tanzania
Hao wote wako chini yake.Huyo Askofu Paul Paul Vendera Zumaridi yeye ndie aliyemfundisha huo ushenzi na huyo nabii Yaspi ni mke wa mwanajeshi lakini huo upuuzi wa u lesbian tutor wake ni huyo askofu Bendera wa kijitonyama.Na anajiita Yaspi Paul Bendera. NI MHAYA baba yake wala haitwi Paul Bendera. Kabeba jina la huyo mentor wake wa uasagaji
Alipofunzwa mambo ya usagaji akachukua jina la Askofu Paul Bendera kama baba yake wa huo ushenzi
.Uhamiaji tafadhali nendeni mkamhoji huyo anajiita nabii Yaspi Paul Bendera je hayo majina ni halisi au sio kama sio kwa nini?ni raia au sio raia?
Pia fuatilieni wote walioko chini ya hilo kanisa la Askofu Bendera
Fanyeni upesi spidi ya umeme wasije kimbia nchi au kupoteza ushahidi
View attachment 3334921
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linapenda kutoa taarifa kuwa leo tarehe 15.05.2025 majira ya saa nne asubuhi huko mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, wilaya ya Nyamagana, limemkamata na linaendelea kumhoji Diana Edward Bundala ambaye pia hujitambulisha kwa jina la Mfalme Zumaridi, miaka 42, mkazi wa mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, ambaye ameyageuza makazi yake kuwa kanisa, anatuhumiwa kuendesha shughuli za kidini bila usajili pamoja na kufanya mahubiri kwa waumini wake kwa sauti ya juu katika eneo hilo ambalo ni makazi ya watu na kusababisha usumbufu kwa majirani wanaoishi karibu na makazi yake.
Aidha, mwanamke huyo anahojiwa kuhusiana na taarifa inayoendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii akionekana kwenye picha mjongeo akiwa na kundi la watoto wenye umri mdogo wa jinsia ya kike na kiume akiwaeleza kuwa yeye ndiye Mungu wao ambaye ana uwezo wa kuwatenganisha na kifo.
Uchunguzi kuhusiana na tukio hili unaendelea, Jeshi la polisi katika uchunguzi huo litashirikiana na taasisi nyingine za serikali; hivyo linawaomba wananchi wenye taarifa mbalimbali zinazoweza kusaidia uchunguzi wa tuhuma hizi wafikishe kwa Jeshi la polisi. Uchunguzi utakapokamilika hatua za kisheria zinazostahili zitachukuliwa.
Kama

View attachment 3334876
NYote mnaosema zumaridi sio MUNGU tuonesheni huyo MUNGU Yuko wapi!!!Kupoteza maboya ya No reform No election?
NB;Zumaridi ni mwehu anayefaa kukaa anacheza na poli
Hata ukioneshwa,una macho ya kumuona?NYote mnaosema zumaridi sio MUNGU tuonesheni huyo MUNGU Yuko wapi!!!
Ujinga na uonevu tu ndio maana tunataka reform vinginevyo no election 💯Bongo yaani kukamatana hovyo utadhani tupo Somalia wanamkamata mtu harafu wanasema upelelezi bado haujakamilika sasa mmemkatia nini..
Imekua kama fashion sasa kwenda jela majambazi wa Mali za umma wanapeta tu mtaani wanachukuliwa watu ambao hata wakiambiwa waende polisi kila siku watafika Nchi ya hovyo sana hiyo..Ujinga na uonevu tu ndio maana tunataka reform vinginevyo no election 💯