Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

Mfalme wa Saudi Arabia King Abdullah afariki dunia muda mfupi uliopita akiwa na Umri wa miaka 90. Mdogo wake(half brother) King Salman ametangzwa kuwa mrithi wake.
Mfalme huyo atazikwa mjini Riadh ndani ya masaa kumi kianzia sasa.

Saudi Arabia nchi pekee inayofuata mfumo wa kifalme lakini ina urafiki wa siku nyingi na Marekani inayofahamika kuwa nchi yenye demokrasia pana duniani. Rais Obama tayari ameshatuma salamu zake kwa Wasaudi Arabia.

Hata hivyo, kutokana na muda na maandalizi ya masuala ya kiusalama kuna uwezeno mkubwa kuwa Obama atashimdwa kwenda huko ila atawakilishwa na Waziri wa mambo ya nje (waziri mkuu) Mr John Kerrry.
Nawasilisha
Mikael Aweda
Chanzo CNN
Marekani sidhani kama wana cheo cha Waziri Mkuu!.
 
Mfalme Abdullah afariki dunia

150122234411_king_512x288_bbc_nocredit.jpg

Hayyat Mfalme Abdullah

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mfalme wa Saudi Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .

Tamko la kifo cha mfalme huyo zilitolewa na kaka wa mfalme huyo aitwaye , Salman,ambaye naye aliwahi kuwa mfalme.

Kabla ya tamko hilo television ya taifa la Saudi lilikatiza matangazo yake na kuweka nyimbo za quraan ,kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa ufalme.

King Abdullah, amefariki dunia akiwa na miaka 90, alilazwa hospitalini kwa wiki kadhaa tangu December mwaka wa jana kutokana na maambukizi kwenye njia ya hewa.

Mfalme huyo aliingia madarakani mwaka 2005 lakini alikuwa ni dhaifu mwenye kushambuliwa na maradhi mara kwa mara. chanzo.BBC
 
Mfalme wa Saudi Arabia King Abdullah afariki dunia muda mfupi uliopita akiwa na Umri wa miaka 90. Mdogo wake(half brother) King Salman ametangzwa kuwa mrithi wake.
Mfalme huyo atazikwa mjini Riadh ndani ya masaa kumi kianzia sasa.

Saudi Arabia nchi pekee inayofuata mfumo wa kifalme lakini ina urafiki wa siku nyingi na Marekani inayofahamika kuwa nchi yenye demokrasia pana duniani. Rais Obama tayari ameshatuma salamu zake kwa Wasaudi Arabia.

Hata hivyo, kutokana na muda na maandalizi ya masuala ya kiusalama kuna uwezeno mkubwa kuwa Obama atashimdwa kwenda huko ila atawakilishwa na Waziri wa mambo ya nje (waziri mkuu) Mr John Kerrry.
Nawasilisha
Mikael Aweda
Chanzo CNN
9k=
2Q==
 
mfalme wa saudi arabia king abdullah afariki dunia muda mfupi uliopita akiwa na umri wa miaka 90. Mdogo wake(half brother) king salman ametangzwa kuwa mrithi wake.
Mfalme huyo atazikwa mjini riadh ndani ya masaa kumi kianzia sasa.

Saudi arabia nchi pekee inayofuata mfumo wa kifalme lakini ina urafiki wa siku nyingi na marekani inayofahamika kuwa nchi yenye demokrasia pana duniani. Rais obama tayari ameshatuma salamu zake kwa wasaudi arabia.

Hata hivyo, kutokana na muda na maandalizi ya masuala ya kiusalama kuna uwezeno mkubwa kuwa obama atashimdwa kwenda huko ila atawakilishwa na waziri wa mambo ya nje (waziri mkuu) mr john kerrry.
Nawasilisha
mikael aweda
chanzo cnn
thx mikael kwa taarifa endelea kutujuza kinachojiri tunaandaa flightplan ya geneva to saudia kama tunaweza wahi tutakuwapamoja huko
 
Kafa hajui ugumu wa maisha!

Ufalme ni utaratibu wa kipuuzi sana na uliopitwa na wakati.

UK pamoja na maendeleo walioyonayo bado wanakumbatia ufalme!
 
Back
Top Bottom