Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Abdullah bin AbdiliAzizi sehemu pema kama alikuwa amefanya mema kwenye dini yake Qur'an 3:185; Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu.
 
Amesababisha vita vingi katika nchi za Kiislamu. Ndiye aliye fund machafuko ya Libya na Syria. Kwa kawaida vita vyote katika nchi za Kiislamu huwa funded na Saudi Arabia: kuanzia Yemen, Iraq, Libya nk. Nchi mbaya sana hii inayojali maslahi ya wazungu tu.
Kuna wakati Abdalla ameitaka USA 'ikate kichwa cha nyoka' akimaanisha Iran.
Mungu atamhesabia kama anavostahiki.
 
Kubali umekosea Marekani haina cheo cha Waziri Mkuu!

Wabongo bwana!

Am telling you@Bobuk; Mimi sikutaka ligi tu na huyu Bwana!. Hivi anafahamu kwamba Marekani, baada ya Makamu wa rais, anayefuatia ni Spika wa Bunge?.
 
ni jina la heshima tu. kama una unavyoweza kumuita Yeah mkombozi au mfalme !

Thx mkuu kwa somo!

Awali nilidhani Maulana ni Mungu tu ndiyo maana siku nimeenda Saudia nikakuta mabango pale Riyadh wanamuita Maulana nikashtuka sana!
 
Amesababisha vita vingi katika nchi za Kiislamu. Ndiye aliye fund machafuko ya Libya na Syria. Kwa kawaida vita vyote katika nchi za Kiislamu huwa funded na Saudi Arabia: kuanzia Yemen, Iraq, Libya nk. Nchi mbaya sana hii inayojali maslahi ya wazungu tu.
Kuna wakati Abdalla ameitaka USA 'ikate kichwa cha nyoka' akimaanisha Iran.
Mungu atamhesabia kama anavostahiki.

..........Wa Iran waliwahi kuwatafuta sana Wa Saud ! Kuna wakati miaka ya 80 mwishoni, Wa Iran walifanya maandamano Makka wakati wa hijja. Walielekeza maandamano yao Msikiti Mkuu wa Makka. Wa Saud hawakuwa na option pale walipoona jamaa wako serious na wanaelekea 'Al Kaba' ! Waliwaua wengi sana siku hiyo.

Bado Shia (Wa Iran) wana choko choko nyingi juu ya Uislaam na wana mambo mengi wetia katika Ushia wao ambayo ni kinyume cha Uislaam. Wana Hijja yao wanafanya pale 'Kerballah' !..........kinachofanyika ni kinyume na Uislaam. :hand:
 
Thx mkuu kwa somo!

Awali nilidhani Maulana ni Mungu tu ndiyo maana siku nimeenda Saudia nikakuta mabango pale Riyadh wanamuita Maulana nikashtuka sana!

Hilo jina linapendwa sana na Wapakistan. Wale wakuu wote wa Vyuo vya Kiislaam (Madrasa) hupenda 'title hiyo ya 'Maulana'.

Mbezi Beach pale njia panda ya Makonde, kulikuwa na Chuo cha Kiislaam, (Nuur) kikiendeshwa na Wapakistan. Mkuu wa Chuo alianzia na hiyo Title ya Maulana. Bahati mbaya jamaa alikuwa fisadi akakihujumu chuo mpaka mfadhili akakifunga.
Kwa sasa kuna shule ya Primary (English Medium) inadaiwa ni ya Mkurugenzi wa National Housing. Malafyale
 
Last edited by a moderator:
Wewe ambaye sio Kibaraka utaishi miaka mingapi?

Yeye anaetoa silaha na fedha kuua watoto na akina mama syia na Libya ndio ajue sasa kwamba wote watakufa na hata wewe mwenye mahaba nae utakufa...
 
Amesababisha vita vingi katika nchi za Kiislamu. Ndiye aliye fund machafuko ya Libya na Syria. Kwa kawaida vita vyote katika nchi za Kiislamu huwa funded na Saudi Arabia: kuanzia Yemen, Iraq, Libya nk. Nchi mbaya sana hii inayojali maslahi ya wazungu tu.
Kuna wakati Abdalla ameitaka USA 'ikate kichwa cha nyoka' akimaanisha Iran.
Mungu atamhesabia kama anavostahiki.

Mkuu kati ya mashetani kuna shetani mzuri. Jamaa alikuwa na uzuri wake, at least aliruhusu wanawake kuchagua ajira, kusoma, kupiga kura na hata kuweza kuwa viongozi katika ngazi ya chini.

Pamoja na kuwa na elimu ya msingi tu, alijitahidi sana kutumia akili za waliosoma na kufanya maamuzi ya maana.

Bei ya mafuta kwa sasa tunanufaika nayo kutokana na busara zake, otherwise leo bei ingekuwa dola mia kwa pipa.
He was smart to tell Obama, it is a mistake to call democracy in middle eastern countries, the idea i personally agree with.
 
If the muslim customs are followed, he will be buried the same day in a white sheet so that the earthly creature feast on his body. After that, his immediate family get together for a meal. The next day, all is well and back to normal.
And that is the end of the human story on this piece of universe,u'rs and mine are coming.Get prepared.
QURAN 16:95 Yours fades away but what thou hath submitted to ALLAH are thereof forever
 
And that is the end of the human story on this piece of universe,u'rs and mine are coming.Get prepared.
QURAN 16:95 Yours fades away but what thou hath submitted to ALLAH are thereof forever
Christians don't die like you guys.

2 Corinthians 5:8 We are confident, I say, and willing rather to be absent from the body, and to be present with the Lord.
 
Back
Top Bottom