Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

ImageUploadedByJamiiForums1421980148.343445.jpg
 
Daah..RIP mfalme..ngoja tuangalie mazishi ya karne..gari la kubebea maiti itakuwa la dhahabu
 
Mfalme wa Saudi Arabia King Abdullah afariki dunia muda mfupi uliopita akiwa na Umri wa miaka 90. Mdogo wake(half brother) King Salman ametangzwa kuwa mrithi wake.
Mfalme huyo atazikwa mjini Riadh ndani ya masaa kumi kianzia sasa.

Saudi Arabia nchi pekee inayofuata mfumo wa kifalme lakini ina urafiki wa siku nyingi na Marekani inayofahamika kuwa nchi yenye demokrasia pana duniani. Rais Obama tayari ameshatuma salamu zake kwa Wasaudi Arabia.

Hata hivyo, kutokana na muda na maandalizi ya masuala ya kiusalama kuna uwezeno mkubwa kuwa Obama atashimdwa kwenda huko ila atawakilishwa na Waziri wa mambo ya nje (waziri mkuu) Mr John Kerrry.
Nawasilisha
Mikael Aweda
Chanzo CNN
 
انا لله وانا اليه راجعون
Allah Have Mercy 4give him & grant Jannah
مات الملك عبدالله رحمه الله
وبقي الملك الحي الذي لا يموتﷻ
The king has passed on
& the ever-living king remains who doesn't die -ALLAH!

"Limanil mulk al yawm.
Lillahil wahidil qahhar.

For who is the Kingdom that day?
For Allah, the One, the Subduer."
~
 
Kila nafsi itaonja umauti,
Bila kujali una nafasi gani katika jamii na vile vile haijalishi una utajiri kiasi gani hapa duniani.

Hilo linaweza kuwa somo kubwa kwetu binadamu kuwa ni vyema tukawekeza kwenye ufalme wa mbinguni, badala ya kujijengea ukwasi wa kutisha hapa duniani.
 
Mfalme wa Saudi Arabia King Abdullah aefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 90. Mdogo wake(half brother) King Salman ametangzwa kuwa mrithi wake.
Mfalme huyo atazikwa mjini Riadh ndani ya masaa kumi kianzia sasa.
NB. Saudi Arabia nchi pekee inayofuata mfumo wa kifalme lakini ina urafiki wa siku nyingi na Marekani inayosika kuwa nchi yenye demokrasia pana duniani. Rais Obama tayari ameshatuma salamu zake kwa Wasaudi Arabia. Hata hivyo, kutokana na muda na maandalizi ya masuala ya kiusalama kuna uwezeno mkubwa kuwa Obama atashimdwa kwenda huko ila atawakilishwq na Johm Kerrry.
Nawasilisha
Mikael Aweda



Apumzike kwa AMANI yake Bwana!

Source ya news hii ni wapi Mikael P Aweda
 
Last edited by a moderator:
RIP "Maulana" Abdullah kama alivyokuwa anaitwa na wananchi wake!!
 
Watu wa dar mnalala kweli? Hii serikali imewafanya kitu kibaya sababu ya foleni mmekuwa waamsha popo Tanzania.
 
Innaa lilah wainnaa ilaih raajiuun. Allah amrehemu.

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mfalme wa Saudi Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .
Tamko la kifo cha mfalme huyo zilitolewa na kaka wa mfalme huyo aitwaye , Salman,ambaye naye aliwahi kuwa mfalme.
Kabla ya tamko hilo television ya taifa la Saudi lilikatiza matangazo yake na kuweka nyimbo za quraan ,kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa ufalme.
King Abdullah, amefariki dunia akiwa na miaka 90, alilazwa hospitalini kwa wiki kadhaa tangu December mwaka wa jana kutokana na maambukizi kwenye njia ya hewa.
Mfalme huyo aliingia madarakani mwaka 2005 lakini alikuwa ni dhaifu mwenye kushambuliwa na maradhi mara kwa mara.
 
Kul nafsi dhaikatul mauti wainnama tuwa fauna hujurakum yaumal kiyamat
 
Rest in hell..ameshiriki sana kumuua ghadafi..mshenzi tu
 
Back
Top Bottom