Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

Watu wa dar mnalala kweli? Hii serikali imewafanya kitu kibaya sababu ya foleni mmekuwa waamsha popo Tanzania.
Umejuaje kuwa hizo comments zimepostiwa na wakazi wa Dar?

İnawezekana sana kuwa hizo posts ni za watanzania walioko Marekani, ambako huko sisi tunapokuwa tumelala fofofo usiku wa manane, huko kwao kukawa mchana na jua linawaka.
 
Sijaelewa protocol za kifalme zinakuwaje labda,,nilifikiri atarithi Ufalme mtoto wake wa kiume au hakuwa na watoto? Kama ana watoto why Ufalme uende kwa mdogo wake. Wajuzi naombeni mnifahamishe hili

Kwa sababu Saudi Arabia ni Mamlaka na ina wamiliki wake na mmiliki wake wa kwanza alikuwa baba yao hawa akina Abdallah sasa alipokufa watoto wake wanarithi na bado wapo labda anaerithishwa aukatae, wakiisha ndiyo watarithi watoto wao kama hiyo Mamlaka bado itakuwepo, kwani kuna watu huko hawakubaliani na huo utawala wa kidikteta.
 
Apumzike kwa amani aliyekuwa mfalme wa Saudi Arabia
 
Inna lillah wainna Ilaih rajiun. May your soul rest in Firdaous by the Mercy of Almighty Allaah.
 
Alikua Akitmia Utajiri Wa Taifa Lake Kunyanyaxa Mataifa Mengne Na Pia Kulinda Mataifa Mengne

Nilimkubali alipokuwa crown prince lakini pindi alipoukwa ufalme akalazimishwa kufuata matakwa ya magharibi na akakubali. Mungu ameweke pema
 
Tayari mfalme huyu wa Saudi, alikwisha ingia hukumuni mara alipokata roho; kuingia Peponi ama Kuzimu !
{ WAEBRANIA 9:27}
 
Nilimkubali alipokuwa crown prince lakini pindi alipoukwa ufalme akalazimishwa kufuata matakwa ya magharibi na akakubali. Mungu ameweke pema
ulitaka aivuruge nchi kama syria au yemen ndio umkubali???????????

As king he pushed through cautious reforms, including giving women a greater public role, against opposition from religious conservatives, he defeated an Islamist insurgency 10 years ago
 
Kikwete akisikia obama anaenda lazima na yeye aende japo akamshike mkono kwa mara ya mwishomwisho
 
kabisa,
king abdullah alikuwa mwerevu sana.
nitamkumbuka daima

Yes!!! A leader who had a vision has gone. Go and find a better place for you. I salute you
INNA LILLAH WA INNA ILLAH RAJIOUN.
 
waarabu hawaoti mvi eeh? miaka 90 lakini bado mustach na ndevu nyeusi kabisa!
 
ulitaka aivuruge nchi kama syria au yemen ndio umkubali???????????

As king he pushed through cautious reforms, including giving women a greater public role, against opposition from religious conservatives, he defeated an Islamist insurgency 10 years ago

Sikuwa na maana hiyo kama ulivyodhani, bali hakuwa anaufurahia utawala wa Fahad kwa upande wa rasilimali ya mafuta, na kuwakubalia wanajeshi wa marekani kufanya maskani hapo na kuamua wao wanavyotaka. Kwa mengine in a way yes
 
The death of King Abdullah of Saudi Arabia on Thursday, at about age 90, leaves British Queen Elizabeth II as the oldest living reigning monarch in the world. The queen is 88, and will turn 89 on April 21. The queen husband, Prince Philip, is 93
 
Back
Top Bottom