Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 900
Kama hizi ni picha za karibuni I must he looks good for a 90 yr old. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
daa mabilioni yote anayaacha
dah kweli wananchiwa chalinze wameondokewa na kipenzi chao king abdulah ,,alikuwa anajalai sana wannachi wake wa jimbo la chalinze na alisaidia sana wafanya biashara wadogo wadogo pale chalinze
ah hyo hawez kuona pepo amekata sana watu viganja na kupiga mawe wanawake wazinifu .ameoa zaidi ya mara 30,gaidi tu nae kama osama ataonja jehanam
.Ndipo ujue dunia uwanja Wa fujo na yote ni ubatili tu....
heri uyatoe mabilioni kusaidia binadamu wenzio wafurahi kuliko kuyaficha ukayaacha....
Kifo...magonjwa.....usingizi...kuzeeka ni mambo yanayomwonesha binadamu yu sawa na wote hivyo asijione Wa maana kuliko wenzie....
kama kale ka mengi hujiona kama kataishi milele na ule mpua wake oversize
Sijaelewa protocol za kifalme zinakuwaje labda,,nilifikiri atarithi Ufalme mtoto wake wa kiume au hakuwa na watoto? Kama ana watoto why Ufalme uende kwa mdogo wake. Wajuzi naombeni mnifahamishe hili