Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

Mfalme wa Saudi Arabia afariki dunia

Kul nafsi dhaikatul mauti wainnama tuwa fauna hujurakum yaumal kiyamat

Hapa Umetifuka Kiccm Sisiem Hajaweka Idgham Za Kumakinika Ila Alah Mafrlahu Warahmuh Wasknuh Fill Jannat
 
Hawa jamaa wako line moja ya kizazi na Mtume; na hata huzikwa jirani na Mtume; Wallahi huyu yuko Peponi muda huu akitumbua raha za huko. Atumbue kwa amani; Amin.
cc: FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Aweda naona sasa mfalme anaenda mbele ya MFALME MKUU.
 
RIP king!
Wananchi wako ndo wanafahamu ubora au udhaifu wako (Mungu ailinde familia yako)
 
ah hyo hawez kuona pepo amekata sana watu viganja na kupiga mawe wanawake wazinifu .ameoa zaidi ya mara 30,gaidi tu nae kama osama ataonja jehanam
 
Alikua Akitmia Utajiri Wa Taifa Lake Kunyanyaxa Mataifa Mengne Na Pia Kulinda Mataifa Mengne
 
dah kweli wananchiwa chalinze wameondokewa na kipenzi chao king abdulah ,,alikuwa anajalai sana wannachi wake wa jimbo la chalinze na alisaidia sana wafanya biashara wadogo wadogo pale chalinze
 
mfalme abdullah afariki dunia



150122234411_king_512x288_bbc_nocredit.jpg

hayyat mfalme abdullah

taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mfalme wa saudi abdullah bin abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .


tamko la kifo cha mfalme huyo zilitolewa na kaka wa mfalme huyo aitwaye , salman,ambaye naye aliwahi kuwa mfalme.


kabla ya tamko hilo television ya taifa la saudi lilikatiza matangazo yake na kuweka nyimbo za quraan kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa ufalme.


king abdullah, amefariki dunia akiwa na miaka 90, alilazwa hospitalini kwa wiki kadhaa tangu december mwaka wa jana kutokana na maambukizi kwenye njia ya hewa.

mfalme huyo aliingia madarakani mwaka 2005 lakini alikuwa ni dhaifu mwenye kushambuliwa na maradhi mara kwa mara. Chanzo.bbc

Sub-haanallah...!.
 
Back
Top Bottom