zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,060
- 28,705
- Thread starter
- #661
Mkuu hizo zimeandikwa na vitabu vya dini ya kiyahudi mfano talmud midrash tanakh torah n.k ambao ndio kma quran au biblia yao..... Pia hao walimuona uso kwa uso ndio wakaja na hii simulizi sasa unaposema nadharia sijui unatoa kwa msingi upiOg aliweza kukata mlima, kuubeba na kuutupa? Na bado akaishi akapona gharika nje ya safina, wakati ambapo maji yalichukua mwaka mzima kukauka, nadharia nyingine, zinataka uvumilivu, kuzielezea!
Kihistoria inakubalika kulikuwepo na watu wa futi zaidi ya 20 hapa duniani kwa ushahidi wa kisayansi na kiachiolojia na nimeweka hapo juu kuhusu kaburi la OG kuvumbuliwa na wanasayansi wa kifaransa!!! So tusiwe wagumu wa kusema HAIWEZEKANI ilihali Pyramids na mnara wa babeli mpaka leo maengineer wanajiuliza waliwezaje watu wa kale kuinua matofali size ya kontena ilihali hakukuwa na teknolojia kma ya sasa
Ukiweza kujibu hizo puzzle ndio utaelewa ukweli juu ya uwepo wa watu wa futi 20+ katika ulimwengu wa kale
Google tu Jiji la baalbek utaona maajabu ya tofali kma kontena sasa nani alibeba yale??