Wajue Wakush wa kweli

Wajue Wakush wa kweli

Jackwillpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
2,539
Reaction score
3,860
Wajue Wakush wa kweli

Ni weusi tii, wewe unaojiita mweusi kwao ni mweupe. Angalia picha.

Wagiriki walipowaona waliwaita ethiopia (yaani uso ulioungua na mwanga wa jua)

Waarabu walipowaona waliwaita bilad as-sudan (yaani nchi ya weusi)

Hivyo Ethiopia na Sudan ni majina ya kigeni kama ilivyo Waswahili. Lakini leo kuna Wakush machotara sababu ya kuchanganyika na wageni na hao machotara ndio wanaitawala Sudan (kaskazini) na Ethiopia ya leo. Juu ya rangi ya Mkush Biblia inasema;

Je, Mkushi aweza kuibadili ngozi yake, au chui madoa-doa yake? Kama aweza, ndipo na ninyi mwaweza kutenda mema, ninyi mliozoea kutenda mabaya. Yer 13:23 SUV.

Hivyo Mkushi ni mtu mweusi tii na si maji ya kunde ama brown. Rangi yao ilikuwa ya pekee, walikuwa watu wenye ngozi laini na warefu na mashujaa. Ona, Isaya 18. Wamisri walijichora tofauti na Wakushi. Na walikuwa na uadui wa kimipaka ingawa ni watoto wa baba mmoja naam Hamu. Mwanzo 10:6

Fahamu,

Mkushi ndio mfalme wa kwanza kuitawala dunia. Nimrodi mwana wa Kushi baada ya gharika alipata maarifa mengi na ubunifu mkubwa, na alibuni gorofa kubwa la kwanza duniani (mnara wa Babeli) na akajenga miji mikubwa 10 ukiwemo Babeli katika eneo la shinari (Iraq na Siria ya leo). Miji hii ilikuja kuwa maarufu na mikubwa sana kwa wakati ule, na mmoja wapo ni mji wa Babeli, Ninawi na Resin. Yote ilipigana na Israeli. Mabaki ya miji hii yapo hadi leo. Na mji wa Babeli umekuwa alama ya uasi katika Biblia. Uf 17&18.

Nimrodi alikuwa mtu shujaa lakini alichagua kuwa kinyume na Mungu. (Jina lake likiwa na maana ya muasi) alifanikiwa kugeuza shauri la Mungu la kutawanyika duniani, yeye akawakusanya watu pamoja na kuunda utawala wa msonge. Akawa maarufu kuliko Mungu. Mwanzo 10:7-12 KJV. Bwana alisema watu watawanyike, yeye akasema tukusanyike pamoja tusitawanyike, tujenge mji na mnara tujifanyie jina. Mwanzo 9:1; 11:4. Mwisho utawala wake ulianguka baada ya Mungu kuingilia kati. Lakini maarifa yake na ibada yake ipo hadi leo. Watu wanamwabudu kwa njia mbalimbali. Ugiriki kama Zeus, Babeli kama Moredaki, Misri/Kush kama Osiris, Rumi kama Jupiter. Na katika nchi hizo utaona miungu hiyo inachorwa pia kwa rangi nyeusi wakimuenzi mungu wao Nimrodi.

Wakushi wengine katika Biblia

1] Wakushi walikuwa na ujamaa na uadui pia na Israeli. Wakati wa mfalme Daudi alikuwa na mwanajeshi Mkushi. 2 Sam 18:21.

2] Wakati wa mfalme Asa wa Yuda, Mfalme Zera Mkushi aliivamia Israeli akiwa na majeshi 1,000,000 lakini akashindwa vitani na Asa aliyekuwa na wanajeshi wachache ila kwa msaada wa Mungu. On 2 Nyakati 14

3] Wakati wa mfalme Sedekia kuliwa na ofisa mkubwa wa Kikush mbele ya mfalme. Alikuwa na akili na uchaMungu sana mpaka Mungu alimpenda sana na kumpa ulinzi. Aliitwa Ebedmeleki, alimwokoa nabii Yeremia alipotupwa kwenye shimo la matope sababu ya kutofautiana na wakuu wa dini. Yer 38:7-13. Na Mungu alimpa Neema kubwa sana Ebedmeleki, na alimtumia ujumbe maalum kupitia Yeremia kwamba ataingamiza Yuda sababu ya uasi lakini atampa ulinzi yeye na nyumba yake. Yer 39:15-18

4] Kipindi cha mfalme Hezekia, Israeli ilifanya ujamaa na Kush chini ya mfalme Taharka ambaye wakati huo alitawala sehemu kubwa sana ikiwemo Misri. Kiti chake alikiweka Memphis Misri akawa Farao. Wakati Israeli imebanwa na mfalme wa Ashuru (Iraq/Siria), Taharka alikuja kuwasaidia.

Isaya 37:9. Lakini mwisho mfalme wa Ashuru aligeuza vita vyake dhidi ya Taharka na kumshinda na kuivamia Misri na kumshinda Tahraka na kumrudisha nyuma mpaka kwenye nchi yake [Nubia]. Na pale Misri mfalme wa Ashuru akamweka mfalme kibaraka mzawa naam kijana Neko kuwa Farao. Neko baadae alipata nguvu baada ya Ashuru kuanguka, alienda naye kuyatwaa maeneo ya Ashuru huko Karkemishi akichuana na Nebukadreza aliyeiangusha Ashuru. Israeli ikajichanganya wakati wa mfalme Yosia kumzuia, Neko akamuua mfalme Yosia na kuiteka Yerusalem kisha akamweka Yohayakim kama mfalme kibaraka na kuifanya koloni lake. Ona, 2 Nyakati 35. Lakini Neko naye baadae alikutana na kichapo kikali cha Nebukadreza huko Karkemishi, na akarudishwa hadi Misri. Na Israeli ikanyakuliwa na Nebukadreza. Na Waisraeli wengi walikimbilia Kushi na kuishi huko hadi leo masalio yao yapo huko na wengine walichukuliwa na serikali ya Israeli na kupelekwa Israeli. Wanajulikana kama Beta Israeli yaani nyumba ya Israeli. Lakini wanabaguliwa sana huko Israeli sababu ya rangi yao.

5] Pia tunamwona Towashi wa Kush mwenye mamlaka chini ya malikia Kandake wa Kushi akiwa muumini wa dini ya Kiyahudi lakini baadae akabatizwa na Philipo na kuwa mkristo. Mdo 8:27+

Pia elewa kuwa nchi ya Kushi leo sio Ethiopia kama wengi wanavyodhani bali Sudan na hapo ndio kuna masalio yao ya kale kama mapiramid mengi kuliko ya Misri pamoja na sanamu za kale zikiwemo na za mafarao wa Kikush (Piye, Tirhaka nk) pamoja na maandishi ya kale. Ethiopia inayopewa hadhi ya Kushi imetokana na uhamiaji wa watu kutoka Kushi na wakaunda ufalme wao hapo na baadae wakaunda dola la kikiristo la kiorthodoksi lenye ujamaa na Byzentine. Watu wa Ethiopia wamechanganya sana damu na watu kutoka Yemen na Arabia, ndio maana hawapendi kujiona kuwa ni Waafrika.

FB_IMG_16844282987967377.jpg
 
Nimrodi alikuwa mtu shujaa lakini alichagua kuwa kinyume na Mungu. (Jina lake likiwa na maana ya muasi) alifanikiwa kugeuza shauri la Mungu la kutawanyika duniani, yeye akawakusanya watu pamoja na kuunda utawala wa msonge.
Kumbe majina yanaumba

Ukipitiapitia habari za BoT na Tanesco unaweza kuokota kitu
 
View attachment 2626804
Sipatani na wanawake weusi mimi
 
Mane mweupe kabisa 🤣🤣🤣
 
Usihangaike sena, Wasomali ndiyo wenye asili ya Kikushi ambayo haijachanganyika sana.

Ni ngumu sana sasa hivi duniani kukuta jamii ambazo hazijachanganya damu. Zinatofautiana viwango tu.
 
Acha upotoshaji ewe ajuza.
 
Watu si mkasome vitabu mjielimishe mnatia kinyaa,khaa!
 
Back
Top Bottom