Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,798
- 71,218
Hivi mkuu mfano mtu aki base kwa kipimo kile cha kauli ya marehemu mzee Kenyatta kwa Mwl Nyerere walipokuwa wanazungumzia kuongoza watu wa nchi hizi jee kipimo hicho kitakuwa cha kimataifa?Umetumia kipimo/vipimo gani vinavyotambuliwa kimataifa kufikia hitimisho kuwa ni rahisi sana kuiongoza Watanzania ukijua udhaifu wao?
Udhaifu wa Watanzania ni upi?
Unaufahamu vipi huo udhaifu wa Watanzania?
Nielimishe!