Mfalme Juha !

Hivi ile story ya jengo lililoanguka mfalme akaanza kutafta wa kumwajibisha ilikuwaje? Kweli ujuha ni kazi kubwa
 
Alikufa akaja kufufukia Tanzania

"Leo ninayo maneno muhimu. Songeni karibu muyasikie. Ninayo amri ya Mfalme wetu. Nataka kukusomeeni. Amri yenyewe imeandikwa kwa shairi. Mnajua Mfalme wetu anavyopenda mashairi (Watu wanacheka)" Na shairi lenyewe ni kama ifuatavyo:
Nimechoka mashtaka, kila kitu kuwa ghali
Basi natoa amri kwa, hao wote wenye mali
Kutoka siku ya leo, hata kesho ya Ukweli
Kila kitu pesa moja, kwa kila ratili moja

Wauzaji wa Kichaa, na wote wangu raia
Wanawake kwa waume,wakubwa wadogo pia
Ifuateni amri, asofata atalia
Kila ratili moja, iuzwe kwa pesa moja.
 
Minaona hapo mzee mwinyi aliwai kusema ni Matusi ya nguoni yamefichwa kwa nguo nyie wa bongo waswahili sana haya tuone mwisho niaje.... Chipis chakura cha Taifa badara ya Kaugar......
 
Aliweza kuendelea kuwa mfalme si kwa ujuha wake bali kwa ujuha wa watu wake aliowatawala kwakuwa hata baada ya kugundua ujuha wa mfalme wao wao wakavaa miwani ya mbao na headphone za nta.....!!!wakafunika kombe....
mwanaharamu akapita!!!!!!
 
inafika point mie ni mtanzania lakin nathubutu kusema am not prouding off to my country.......hivi hawa viongozi wetu hawajapitia hizi plays na drama wakajifunza vitu......aaaaaaah inaboa sana kwa kweliiiiiiiiii
 
inafika point mie ni mtanzania lakin nathubutu kusema am not prouding off to my country.......hivi hawa viongozi wetu hawajapitia hizi plays na drama wakajifunza vitu......aaaaaaah inaboa sana kwa kweliiiiiiiiii
am not prouding off to my country=am not proud of my country
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom