Mfalme Charles

Mfalme Charles

Sasa huyo new pm anaanza na msiba. Duh!
Sio msiba tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20220908_223551_987.jpg
 
Na Hawa ndo wanatupigia kelele afrika tuwe na demokrasia[emoji848]
Demokrasia ni utawala wa watu, kitu ambacho hakiwezekani, ndiyo maana ktk nchi ya kiimla kama Libya waliipandikiza kama mchezo tu ikatoa majibu ambayo mpaka leo hii wanazama kwenye maboti huko baharini wakikimbia nchi yao, wao wanahimiza demokrasia lakini wao wana tawala kama uzao... Demokrasia ni wengi wape, kitu ambacho kinafanya nchi isitawalike
 
Demokrasia ya uk ni kiini macho tu, hawawezi fanya wala kuamua lolote bila mfalme
Kisichofahamika na baadhi humu jukwaani ni kwamba, huyo mfalme/malkia hana mamlaka makubwa ya kuamua kila kitu bila ya kushauriwa na serikali ambayo iko chini ya waziri mkuu.

Mamlaka makubwa, yasio na kikomo (absolute power) ya ufalme wa Uingereza yalikuwepo hapo zamani. Pitia historia kuhusu "The Glorious Revolution" ya mwaka 1688.

Hivi sasa, mamlaka hayo yanatekelezwa na serikali na bunge la Uingereza.
 
Back
Top Bottom