witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,772
Twenty twoKwahiyo malkia alimzaa huyu Prince Charles akiwa na umri gan kama malkia alizaliwa 1926?
Twenty twoKwahiyo malkia alimzaa huyu Prince Charles akiwa na umri gan kama malkia alizaliwa 1926?
Mdogo wake wa mwishoEti nasikia wanamkula ?
Wewe ongelea mbususu huku unapwaya hadi naona aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah finaly jama kaula. Kibibi kile kilikuwa na roho mbaya sana. Hakikuaka muachia madaraka mtoto wake mwenyewe. Aise nikimkuta peponi nitashangaa sana.
Sawa na uchifu tuVyeo vya kurithi
Amejitambulisha tu kwa malkia na siku ya pili mtu anafarikiSasa huyo new pm anaanza na msiba. Duh!
Kwahiyo ulitaka tutawaliwe kifalme...basi ngoja nimshitue ssh arusishe utawala wa machife tuendelee kuupiga mwingi.Na Hawa ndo wanatupigia kelele afrika tuwe na demokrasia[emoji848]
Mfalme au malkia wa Uingereza ana mamlaka yenye mipaka. Hilo ndilo jibu sahihi zaidi.Watu hawajui hata majukumu ya cheo cha mfalme au malkia wa uingereza... wanajidanganya eti hana mamlaka yoyote kwenye nchi!! Yaani ni vituko tu....
Someni, tafuteni habari mjielimishe... msijizimishe data bure... Familia ya kifalme uingereza ndio wakuu wa nchi, hata waziri mkuu anathibitishwa na malkia
Ndie mtu pekee anayeweza kutangaza vita, hakuna taka taka nyingine pale uingereza inaweza kufanya hivyo ispipokua mkuu wa nchi ambaye ni queen au king
Wanajeshi wote wanakula kiapo chini yake, na si kwa kiongozi mwingine yoyote.
Nb; kuielewa demokrasia ni jambo gumu, na unaweza usielewe mpaka unaingia kaburini.
Na Hawa ndo wanatupigia kelele afrika tuwe na demokrasia[emoji848]
Demokrasia ya uk ni kiini macho tu, hawawezi fanya wala kuamua lolote bila mfalme
Watu hawajui hata majukumu ya cheo cha mfalme au malkia wa uingereza... wanajidanganya eti hana mamlaka yoyote kwenye nchi!! Yaani ni vituko tu....
Someni, tafuteni habari mjielimishe... msijizimishe data bure... Familia ya kifalme uingereza ndio wakuu wa nchi, hata waziri mkuu anathibitishwa na malkia
Ndie mtu pekee anayeweza kutangaza vita, hakuna taka taka nyingine pale uingereza inaweza kufanya hivyo ispipokua mkuu wa nchi ambaye ni queen au king
Wanajeshi wote wanakula kiapo chini yake, na si kwa kiongozi mwingine yoyote.
Nb; kuielewa demokrasia ni jambo gumu, na unaweza usielewe mpaka unaingia kaburini.
Afadhali hata urusi wanafanya siasa hata kama za kukandamizana kama magu, lkn uk iko wazi kila kitu kinaamuliwa na familia ya kifaulme waziri mkuu ni mtekelezaji tu.
Demokrasia ya uk ni kiini macho tu, hawawezi fanya wala kuamua lolote bila mfalme
Huyo babu atakula bata gani mzee 🤠🤠🤠🤠Sawa ila ndio kashakuwa kuwa king. Ata akili kwa miaka mitatu sio mbaya.
Good
22Kwahiyo malkia alimzaa huyu Prince Charles akiwa na umri gan kama malkia alizaliwa 1926?