Mfahamu mkuu wa mkoa wa Mtwara

hata mi binafsi namkubali sn huyu mama, kiukweli ni mchapakazi sana na wanamtwara wengi sana wameonyesha kumkubali.......kwa miaka ya karibuni hakuna sehemu ngumu kiutawala kama masasi na tandahimba kwa mkoa wa mtwara, lakini huyu mama kakubalika sehemu zote hizo!!!
Naona amewapa pesa ili mpigie kampeni apate cheo ccm,tunawajuwa wote mliopewa pesa kwa taarifa yenu tunawajua
 
Kajaliwa Huyo,ngoja nitafute ile picha aliyopiga na aliko dangote,Hahaha
Usipate shida. Wala siko nayo mbali...
_DSC0061.JPG
 
Huyu mama nilikuwa nampendaga tangu akiwa Mpwapwa, mimi nikisoma mifugo hapo hapo Mpwapwa. Nikazidiwa ujanja na dereva wake aliyekuwa anakula mzigo! Daa,,, Halima wewe!! Tutakutana hata huko ukubwani! maana ng'ombe hazeeki maini!!
She is not married by that moments mkuu!
 
Tunajua alikuwa bibi mdogo wa mfalme wa Mshoga na mkuu wa sijui wilaya sijui mkoa hawezi kuwa mtetezi wa wananchi.Huyu ni mtawala atawatetea wananchi dhidi ya nani anyewaonea? Yeye ni sehemu ya anayewaonea,hii itakuwa contrary to nemo judex in causa sua.

Ndo msomi wewe au du TZ kuna kazi
 
Alisimama Bega kwa Bega kuhakikisha walanguzi wa zao la korosho wanatokomezwa. Ili mkulima apate stahiki yake. Na hata ambao walikuwa wananufaika na walanguzi hao, walipojaribu kukwamisha jitihada zake, bila woga aliwashughulikia ili tu mkulima afaidike na jasho lake.
Korosho hiyo ni nchi nzima na si Mtwara tu. Kwa korosho basi tuwapongeze wakuu wa mikoa yote inayolima korosho. Leta vitu exceptional
 
Back
Top Bottom