Mfahamu mkuu wa mkoa wa Mtwara

Harakati za kuteuliwa kondoo kabisa atafata amri tu hata akitaka kuongea mpaka amuulize baba lao azungumze nini.
 
Pale Tanga ni kama alimuhifadhi kwenye kinyumba dogo wa galanosi kama sikosei....huko mpwapwa alituhumiwa kutoka na dereva wake ambaye ni serengeti boys mpaka akahama nae kwenda Kilosa. Mpaka miaka ya hivi karibuni alikuwa bi small wa Lt. Gen mmoja hivi mstaafu kwa sasa waliyekutana huko kilosa kwenye operation za mafuriko ya gulwe ambapo wajeda walienda kujenga daraja. Kuna kijiji kimoja alikutana na mwalimu fulani hivi wa primary akajikuta anaambiwa na mwalimu wewe ni mwanamke tu kwetu huna hadhi ya kuongea na mimi hahahahahahah. Hata hivyo hongera zake japo hatetei wananchi hata sehemu moja maana yeye ni mtawala
 
Mm nampenda sana huyu dada, hasa kwa umbo lake zuri sana aiseee.. Mama Afrika halisiiiii.. 100% yuko vizuriii
 
ana kipi cha ziada labda?
Ana....
2507-190x190.jpg
 
Nikimuona nakumbuka mbali sana wakati ni mkuu wa wilaya wa kilosa,alikuwa analazimisha watu waipende ccm lakini alikiona cha moto kijiji fulani ambacho kinaitwa ruaha(kilombero sugar)
 
Tunajua alikuwa bibi mdogo wa mfalme wa Mshoga na mkuu wa sijui wilaya sijui mkoa hawezi kuwa mtetezi wa wananchi.Huyu ni mtawala atawatetea wananchi dhidi ya nani anyewaonea? Yeye ni sehemu ya anayewaonea,hii itakuwa contrary to nemo judex in causa sua.
UNA UTANI NA BALOZI WA RUSSIA?
 
Msimu uliopita wakulima wa korosho wilayani Masasi hawakulipwa pesa zao za mauzo ya korosho na hadi leo hawajalipwa kutokana na hujuma zilizosababishwa na viongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Masasi na Mtwara (MAMCU) wakati huyu mama (Dendego) akiwepo na alishatuhumiwa kushirikiana na hao viongozi kwani mmoja kati yao ni mkwewe aliyeoa binti wa kaka yake na huyo mkuu wa mkoa na ndiye alikuwa ndiye engineer aliyeratibu ubadhirifu huu kwa kushirikiana na mkwewe. Huyu mama ni hovyo kabisa.
 
Hakuna mkuu wa mkoa wala wilaya mwenye sifa hiyo ya kuwatetea watu!!ukishakuwa na sifa hiyo tu tayari unakosa sifa ya kukalia kiti hicho,maana unawekwa hapo kama advocate wa serikali!kwa manufaa ya serikali,kwa ajili ya serikali! Sasa utawatetea watu dhidi ya nani? Issue ya korosho ni brain washing, bei ikiwa shilingi 1000 kwa kilo nyie mnawapa shilingi 400! Ikipanda na kufika shilingi 10000 mnawapa 4000 na kudai mmewapigania!! Mnamdanganya mdanganyika anaedanganyika tu,wengine tuko macho.
 
Safari yake ya uongozi na harakati za kutetea haki za wananchi na raia wa Tanzania, zilianza tangu akiwa chuo kikuu cha Dar-es-salaam (UDBS-University of Dar-es-salaam Business School). Enzi hizo ilikuwa inajulikana kama Faculty of Commerce. Alikuwa miuongoni mwa wanaharakati machachali sana wa DARUSO kutokea fass kuanzia miaka ya 2001
Napenda kujua toka kwa mleta mada: Faculty of Commerce ndiyo FASS?
 
MFAHAMU MHE. HALIMA DENDEGO (RC-MTWARA).

Mhe. Halima Dendego kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Mtwara. Safari yake ya uongozi na harakati za kutetea haki za wananchi na raia wa Tanzania, zilianza tangu akiwa chuo kikuu cha Dar-es-salaam (UDBS-University of Dar-es-salaam Business School). Enzi hizo ilikuwa inajulikana kama Faculty of Commerce. Alikuwa miuongoni mwa wanaharakati machachali sana wa DARUSO kutokea fass kuanzia miaka ya 2001 mpaka alipomaliza elimu yake ya chuo kikuu.


Nyota yake na shauku ya kuwapigania watanzania bado iliendelea kung'aa kiasi kwamba akateuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa. Huko alijulikana sana kwa jinsi alivyokuwa karibu na wananchi ili kuhakikisha shughuli za maendeleo zinasonga mbele. Hakuona kuwa mkuu wa wilaya kuwa ni fahari kwake bali alipigania haki ya kila mwanampwapwa kwa nguvu zake zote.

Baada ya hapo alihamishiwa kilosa kwa nafasi hiyo hiyo ya ukuu wa wilaya. Ambako nako alikumbana na changamoto nyingi, kubwa ilikuwa ni vita na migogoro kati ya wafugaji na wakulima. Alitumia utashi wake kadiri alivyoweza kuweka hali sawa.

Baada ya kutoka kilosa akahamishiwa Tanga. Kabla ya kuteuliwa na Raisi kuwa mkuu wa mkoa wa Mtwara, ambako anatumikia mpaka sasa.

Falsafa yake ya kushirikiana na wananchi bega kwa bega bado aliendelea nayo. Ikumbukwe kuwa kwa kipindi ambacho aliingia mkoani mtwara ilikuwa ni kipindi kifupi tu kimepita tangu fujo zilizosabishwa na mzozo wa gesi na ujenzi wa Bomba la mafuta kuelekea DSM. Lakini hilo halikumvunja moyo, bali alihakikisha amani inaendelea kudumu ili shughuli za maendeleo zisonge mbele.

Akiwa mkuu wa mkoa wa Mtwara amefanya mambo mengi na mazuri jambo ambayo kila mwanamtwara anajivunia kuhusiana na huyu Mama. Zao la korosho amelibeba vilivyo kiasi kwamba sasa hivi tunajua thamani ya korosho jinsi ilivyo. Hakuna asiyefahamu jinsi Mhe. Halima Dendego alivyopambana na unyonyaji ambao ulikuwa unafanyika hasa kwenye hili zao la korosho, ama kwa hakika amejitoa mhanga juu ya jambo hili. Wanamtwara tushirikiane na kushikamana na mkuu wetu wa mkoa Jemedari wetu.


Mtwara ni yetu,
Nitasimama na mkuu wa mkoa wangu.View attachment 591754
VP anagombea UWT? Naona unampigia debe ,Vijana wa ccm huwa wakati mwingine mnatumika sana
 
Yes anazosifa Nzuri za Uongozi hasa Uthubutu pia ana huruma nimeona kwa macho yangu akiwasaidua wenye shida pia anafikika in fact she is a True leader Over all RC's in recent years she has done a lot mm nafanya naye kazi I know what I mean Keep it up
Wewe umepewa pesa kumpigia debe acha ujinga
 
Ni jasiri na mwenye kushirikisha sana anaowaongoza katika kifanya maamuzi. Hafanyi mambo kwa kukurupuka wala kwa kubahafisha. Nadhani kama ni mfuatiliaji unaweza ukafatilia vizuri jinsi soko la korosho kwa msimu uliopita ulivyokuwa.
Acha ubwege nenda akupe ajira usipotoshe watu humu nakufahamu
 
Back
Top Bottom