Mfahamu mkuu wa mkoa wa Mtwara

Mfahamu mkuu wa mkoa wa Mtwara

Tunajua alikuwa bibi mdogo wa mfalme wa Mshoga na mkuu wa sijui wilaya sijui mkoa hawezi kuwa mtetezi wa wananchi.Huyu ni mtawala atawatetea wananchi dhidi ya nani anyewaonea? Yeye ni sehemu ya anayewaonea,hii itakuwa contrary to nemo judex in causa sua.
Mpuuzi wewe, acha dharau na kejeli kwa kinamama. Unataka kuniambia kati ya Mama yako au dada zako, hakuna hata mmoja ambaye maishani mwake amewahi kuwa nyumba ndogo ya mwanaume fulani!!!??.

Mfumo dume umekujaa mpaka akili zako zimeathiriwa, Hillary Clinton aliutaka urais na kiukweli anao uwezo wa kiuongozi, kwa hiyo sifa mojawapo ya kumnyima urais iwe ni kwa sababu katika kipindi fulani alishawahi kutembea na mtu fulani kwa siri!!.

Acheni akili za kipuuzi.
 
JAMBO GANI LA AANA AMEFANYA HADI AKAPEWA UKUU WA WILAYA KABLA YA KUPANDA NGAZI NA KUWA MKUBWA WA MKOA
 
Mabavicha ndio wa kwanza kuomba cv za watu,jana mliomba cv nya Namia,leo mtu amewarahisihia kazi ili tu muweke kwa matumizi ya kunyuka baadae,mnaponda aliewaroga kafa
Ila kumbuka tupo hapa tulipo kutokana na utawala wa ccm ktk Nchi hii, rushwa, wizi, ubadhirifu, mikataba mibovu, utapeli, uchafu na kila aina ya uovu.
 
Alisimama Bega kwa Bega kuhakikisha walanguzi wa zao la korosho wanatokomezwa. Ili mkulima apate stahiki yake. Na hata ambao walikuwa wananufaika na walanguzi hao, walipojaribu kukwamisha jitihada zake, bila woga aliwashughulikia ili tu mkulima afaidike na jasho lake.

Nina mashaka makubwa huyu mama aidha akaukosa ukuu wa mkoa au akahamishwa Mtwara. Ametibua sana dili nyingi za mzee wa Ruangwa na hawa majamaa mawili makubwa ya wizara ya kilimo. Binafsi ningefurahi ningeweza walau kuongea hata kwa dakika moja kwa simu manake sipo Mtwara.
 
Sioni anachokifanya maana ameshindwa kubuni mbinu mbadala ya kusimamia elimu Mkoani Mtwara. Ni mpiga dili kama wapiga dili wengine hususani kwenye zao la Korosho. Huwa anashirikiana na yule Mbunge mustaafu. Ana Saloon yake pale Bima ndipo mipango ya dili hupangiwa.
 
Nina mashaka makubwa huyu mama aidha akaukosa ukuu wa mkoa au akahamishwa Mtwara. Ametibua sana dili nyingi za mzee wa Ruangwa na hawa majamaa mawili makubwa ya wizara ya kilimo. Binafsi ningefurahi ningeweza walau kuongea hata kwa dakika moja kwa simu manake sipo Mtwara.
Korosho bado ni sehemu ya siasa chafu za Mtwara? Kwanini the humble guy wa Lindi amuone threat?
 
Aisee, mtwara ina bahati! Mkuu wa mkoa Halima Dendego graduate Biashara UDSM.Mkuu wa wilaya Evod Mmanda graduate Sheria UDSM.Mtwara mnataka nini zaidi?
 
Kwahiyo umekuja kumpigia debe la uwaziri?

Kuna nafasi zipo wazi mnaanzaga mdogo mdogo

Hongera

Kila hakikisha chako unalipwa kabisa
Kumbe nawe umeliona mkuu, huyu anayempromo sijui atakuwa mtoto wake au dada ake
 
Ila kumbuka tupo hapa tulipo kutokana na utawala wa ccm ktk Nchi hii, rushwa, wizi, ubadhirifu, mikataba mibovu, utapeli, uchafu na kila aina ya uovu.
Kauli nyepesi hizo,ukiona mtu analaumu kufeli kwake kwa kusingizia wengine ujue ana matatizo makubwa sana.
Wewe umefanya jambo gani la kutukuka kulisaidia taifa lako?
 
Korosho bado ni sehemu ya siasa chafu za Mtwara? Kwanini the humble guy wa Lindi amuone threat?
Siyo siasa chafu...korosho ni kichochoro cha viongozi wakubwa wa kisiasa wasiokuwa waadilifu kutumika vibaya na wafanyabiashara wakubwa wa pembejeo na wanunuzi wa korosho. Hili lipo wazi! Nina uhakika na hiki ninachokisema.
 
Korosho zinalimwa na watu maskini sana. Ila wauzaji wake ni matajiri sana. Inasikitisha mno
 
Kila mwanadamu anakasoro zake na mapungufu yake, lakini tuangalie na mazuri aliyonayo. Maana naona watu mnakazana katika kukosoa tu. Mbona hampongezi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom