Mfahamu mkuu wa mkoa wa Mtwara

Mfahamu mkuu wa mkoa wa Mtwara

Huyu mama ni mfano bora katika utendaji shirikishi na maamuzi yanayojari haki. Ni mama, ni mshauri. Sio siri NI JEMBE HASA.
 
Iyo huruma ipo wapi nipe namba yke ya cmu nahitaji PAPUCHI yke maana nimekwama kitambo sana
 
Personally namkubali huyu mama. Nimeshafanya nae kazi maalum anajitahidi sana katika maamuzi. Hapendi ujanjaujanja asee. Kuna watu wanaugulia maumivu yake hasa wale wa karibuni wapiga dili za korosho.
Namtakia utendaji mwema.
 
Mambo mengine msiweke hadharani, huoni utaleta shida kwenye familia yake, sasa mzee wake akijua dereva anamsaidia kazi unafikiri itakuwaje?
Mkuu unamaanisha mzee gani? Kwani anaye? Tule na bwana mkuu!!
 
Tunajua alikuwa bibi mdogo wa mfalme wa Mshoga na mkuu wa sijui wilaya sijui mkoa hawezi kuwa mtetezi wa wananchi.Huyu ni mtawala atawatetea wananchi dhidi ya nani anyewaonea? Yeye ni sehemu ya anayewaonea,hii itakuwa contrary to nemo judex in causa sua.
Kumbeeee!!! Kila nabii na zama zake.
 
Thread za kipumbavu kama hii ziishie Facebook na whatsapp.Cyo hapa.
Kapigania watu dhidi ya wanyanyasaji wapi, ilihali yeye ni sehemu ya watesaji???.Mbaaaavu kabisa.
 
kwan ameacha ule mchezo aliokuwa anafanya na yule dada naibu waziri ambaye mdogo wake aliolewa na janamke mwenzie li mirembe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom