Mfahamu kwa kifupi Kizzmekia Corbett mwana dada mwenye asili ya Afrika (Mmarekani mweusi) na Mgunduzi mkuu wa chanjo ya COVID-19

''Chanjo hazifai" kisha mwilini mwako unazo kwa uchache 7,ee ndio sabaa.
Watoto kila leo wanachanjwa kadiri ya wanavyokua.

Kweli huu ni ushujaa.
Kwahiyo hapo hoja ni ipi ni kwamba tukubali tu kuchanjwa chanjo za corona kwa sababu tushachanjwa sana michanjo toka huko utotoni hivyo haina haja ya kuhofia usalama wa chanjo tena?
 
Kwasababu ni mwafrika hawatompa heshima yake anayostahili.. ndo maana wanasema "kizzy na timu yake"..Ila Ingekuwa ni mzungu angetangazwa mpaka mwisho
 
Kwahiyo hapo hoja ni ipi ni kwamba tukubali tu kuchanjwa chanjo za corona kwa sababu tushachanjwa sana michanjo toka huko utotoni hivyo haina haja ya kuhofia usalama wa chanjo tena?
Hizo zaidi ya 7 mnazopuyanga nazo mtaani maisha yenu yote mlizijadili lini?
Ukitaka chanja usihoji,
Na usipotaka kataa kuchanja na usijifanye unajua sana maana mmeshaambiwa SIO LAZIMA.
 
Hizo zaidi ya 7 mnazopuyanga nazo mtaani maisha yenu yote mlizijadili lini?
Ukitaka chanja usihoji,
Na usipotaka kataa kuchanja na usijifanye unajua sana maana mmeshaambiwa SIO LAZIMA.
Kwa hivyo unavyotaka wewe basi hata wasingekuwa wanasema kuwa hizo chanjo ni salama, kwa sababu kumbe watu hawajali kuhusu usalama bali wao wanachanja tu na ndio maana wameshachanja hizo chanjo saba bila kuhoji chochote. Na hiyo maana yake mijitu ilikuwa inachanjwa tu haikuwa na uelewa wowote pengine ujinga wao ndio uliyofanya wakubali tu kuchanjwe hizo chanjo saba na ujinga huo huo ndio unaofanya watu hao hao kupinga chanjo, kwahiyo sasa meza imegeuka ujinga uleule wa watu uliyotumika kuwachanja hao watu ndio ujinga huo huo unatumika kupinga chanjo.
 
Back
Top Bottom