Mfahamu Eric Shigongo: Maisha na historia yake

Kasomi,
Kama hii interview umeifanya wewe basi iko shallow kiukweli, kwa mtu wa hadhi ya Shigongo hapa nchini umeruka na kuacha kudadisi mambo mengi juu yake

Kwenye hii stori ameelezea kuacha kazi ya unesi na kwenda machimboni, ghafla stori ikarukia kwenye namna alivyopata elimu yake ya chuo na ikaishia hapo,,,,
Hujamuuliza alianzaje kufanya biashara mpaka kumiliki makampuni..!!

Hujamuuliza kwann aliacha machimbo na kukimbilia mjini kufanya biashara..!!

Hujamuuliza nn kimemsukuma kuingia ktk ubunge..!!

Hujamuuliza kuhusu deni lake alilokuwa akiidai CCM tangu 2015 akaambiwa na Bi Zakia Meghji anywe maji kwanza 😀, je alilipwa au ndio amefidiwa kwa kupitishwa ubunge 2020 baada ya kukatwa kwenye kura za maoni Dr Charles Tizeba...!??

Hujamuuliza kuhusu tetesi ya kwamba alishauza asilimia kubwa ya hisa zake za makampuni ya Global..!!

Kama alinyimwa kuingia Udsm kwann asiende vyuo vingne maana kila chuo kina qualifications tofauti

Na mengineyo mengi hata kuhusu family status yake

Kwa kifupi interview iko shallow tina tina
 
Asante tyc,
Bila shaka hapo inapaswa kuhoji mengi juu ya shigongo. Nami nikipata nafasi nitafanya hivyo ili kujua mengi kumhusu yeye.
Asante sana
 
Mshauri akapige pepa la form four na six kama private candidate si inaruhusiwa
Aache kutia huruma
 
Huyu mtu kasoma degree kafaulu kwa gpa ya 4.8 ila kurisit form four apate cheti cha kusoma masters ndiyo hawezi au siyo?

Mbona kuna loose ends nyingi sana katika hii stori yake. Anasema ni maskini, ila kuanzia 1998 akawa ana kampuni ya Global, means akiwa na 29 ila hatuambiwi pesa za kuendesha kampuni zilitoka wapi, zaidi ya kuambiwa juu ya kuchana cheti.

Nataka niwajue watu wengine waliosoma kwa mtindo wa jamaa hapa, MDGs zinasupport elimu ya msingi hazisupport elimu ya shahada ni kivipi imekua hivi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom